Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Acha wapumzike man. Wamemaliza hizi tabu let them rest aisee.

Mi nife hafu mtu anitafute online aisee nitamshushia matusi na vitisho hadi ajiue.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
In africa they still make you work as an ancestor! Dah nimecheka sana
 

Usifikiri unajua kila kitu
Hata science kuna vitu Haina majibu..
Kuna jamaa alikuwa anajua kuogelea vizuri sana..akaja akapata matatizo ya moyo...akafanyiwa operesheni ya kupandikizwa moyo wa mtu mwingine aliekufa...ghafla akawa hataki kabisa kuogelea na kila akifika baharini anaogopa na kusikia sauti kama anataka kuzama....akaja chunguza ule moyo aliepandikiziwa kumbe wa mtu aliefariki kwenye maji....

Wanasayansi wakaja na Neno jipya
"Sensory memory ' kama sijakosea..
Na bado wanachunguza..Kesi zimekuwa nyingi.....

Usiongee kama unajua kila kitu
 
Hakuna hata mmoja anayejua kila kitu, ......I'm not Jack of all trades neither

Mtu mzima mwenye tatizo la moyo akafanyiwa operation na akapandikiziwa moyo wa Mtu aliyekufa then huyo Mtu akaendelea kuwa hai, HAIWEZEKANI KAMWE BROH, labda kama hakuwa amekufa.

Hapo sio suala la kiimani au kisayansi, Mtu akifa na moyo unasimama kufanya kazi permanently. Na mzunguko wa damu unakoma kwenye veins & artery zote

Ili kujustify ulilosema, hebu tuambie hilo tukio lilitokea wapi, lini na aliyekufa anaitwa nani?
 
Hahahaha nimepoteza mpendwa wangu, ninatamani niongee naye angalau mara moja .
Nenda kaburini pake mswalie/salie sala ya kurehemu ukifika nyumbani pika chakula wale watu wasiopungua sita.kisha wape watoto sadaka.Atakuja kukushukuru.
 
Mtu akifa moyo wake unaweza kutumika? Hizi reference muwe mnaziverify kama ni sahihi.
 

Wewe haya umejuaje wakati hujawahi kufa???
 
Akipatikana unitonye, nimechoka na uwongo wa hizi dini, nataka aniunganishe na mzima ambao utaniunganisha na Mungu wa kweli.
 
Je, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
Wafu hawana mawasiliano na watu baki bali ndugu wa karibu tena kwa uchaguzi wao binafsi na kwa njia ya ndoto ama ujumbe wenye tafsiri kificho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…