Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Acha wapumzike man. Wamemaliza hizi tabu let them rest aisee.

Mi nife hafu mtu anitafute online aisee nitamshushia matusi na vitisho hadi ajiue.
Huo ni uongo wa wakina mackenzi kuwahadaa wajinga heti anaongea na wafu matokeo yake kawapeleka shakaholo kuwazika na kuwakata nyiti zao
 
Watu wakishafariki spirit zao zina under go mabadiliko. Hawawi tena wale unaowajua. Kuna mambo wanayafahamu na hawatokuchukulia the same.

Pia wakienda ulimwengu wa pili ukiwarejesha huku wakipata mlango wa kurudi huku utaanza kushangaa una andamwa na mabalaa kumbe wamekuja kucorrect yale ambayo wamekosea.

Mfano mzee wako alikuwa mpigaji mkubwa serikalini akienda akirudi hatotaka wewe uendelee kuhusudu mali maana hazina faida na wewe kule uendako sasa utashangaa anakufungia biashara kazi na vitu vingi ili uwe fukara ulete ukaribu wako na MUNGU.

Sasa hauoni tayari umekaribisha madhira.
 
duh hatari hiyo , sasa wanawezaje kurudi huku ,Asante kwa taarifa
 

OffTopic: Hivi haiwezekani ukawa tajiri na ukawa karibu na Mungu??
 
Hii chai,masikio yanakua hai ingawa kafa na hapumui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…