Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Kaburini hakuna kitu zaidi ya mzoga tu,fanya meditition kokote ulipo spirit ipo haifi ,unaokufa ni mwili tu
 
Marehemu kama alikwambua pumba kabla hajafa sio lazima kufata ujinga wake
 
Hizi ni imani tu hazina uhalisia,mwili ukifa unaoza unaisha hakina kitu
 
[mention]Mshana Jr [/mention] njoo umpe msaada au mtafute [mention]Yericko Nyerere [/mention] mkali wa mizimu
 
Kaburini hakuna kitu zaidi ya mzoga tu,fanya meditition kokote ulipo spirit ipo haifi ,unaokufa ni mwili tu
Kwahiyo niko naye hata hapa na ananisikia kila nacho mwambia?
 
Je, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
Uganga wa kuongea na wafu Tanzania haujasambaa sana, mara nyingi tunauona kwenye muvi za Marekani, huko itakuwa ndio kuna imani hizo. Sijawahi kusikia hata uswahilini mtu kaenda kwa mganga kuongea na mfu, inaonesha imani hiyo sio sehemu ya imani za huku kwetu ni imani ya kigeni
 
Ilikuwepo kitambo. Sema tumepoteza uasilia wetu. Na wazee wakawa wabinafsi kurithisha watoto wao. So Imepotea kama ambavyo madawa yetu yamepotea na wazee walivyokuwa wanajitibu ila wachina na wahindi wao waliweza kurithisha mpk Leo wako vzr kwenye matibabu. "walikimbia utumwa WA FIKRA".
 
Kweli nimejaribu fuatilia sana lakini sija sikia kitu kama hicho kwa Tanzania
 
Andaa mil 66.13 nije nikakupandishie huyo mtu hapo kaburini uongee naye physical.
Kumrudisha je? Kama napata hiyo pesa , nitakachoffanya tunandikishiana halafu unamleta naongea naye halafu ndio nakupa pesa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…