Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Natamani hata mtu tuu atokee anidanganye kwamba ninaongea naye na kuwambia kwamba nampenda na aniambie kwamba Mpendwa wangu kafurahi huko alipo kusikia hayo angalau niridhike moyo wangu.
Pole mkuu.

Ila chini ya jua vingi vinawezekana.

Kuna njia naweza kukuambia ila angalau uwe unaweza kujilinda endapo roho nyingine zitatumia huo mwanya utakao ufungua. Maana roho nyingi za upande huo ni sumbufu sana...Like attracts like.
 
Pole mkuu.

Ila chini ya jua vingi vinawezekana.

Kuna njia naweza kukuambia ila angalau uwe unaweza kujilinda endapo roho nyingine zitatumia huo mwanya ultakao ufungua. Maana utakuwa una deal na deathcurrent na roho nyingi za upande huo ni sumbufu sana...Like attracts like.
Nitashukuru kama utaniambia namna yake ,Asante
 
Kwa sasa mapenzi na maumivu yameni tawala na niko so desparate kiasi nakua siwezi fikiria najilindaje ila nachotamani tuu ni kumwambia I love You so much .
Okay, kama ni hivyo tu amesha kusikia Ila wewe ndio umeshindwa kujua kama amekusikia.

Mtakie maisha mema huko alipo mpaka mtakapo onana kwa maranyingine.
 
Unaweza nielezea ana wezaje sikia ? nashukuru kama utani elezea kwa hili suala
 
Duh , asante ila duh niko njia panda
Wengi wakisikia neno 'demon' wanaogopa sana, Ila ukijaribu kujiuliza spirit flani anaitwa demon under which context...??? Ni kwamba kwa mtu flani huyo spirit atakuwa demon Ila kwa mwingine ni helping spirit. Iyo ni topic nyingine...

Tukirudi kwenye ishu ya kuwasiliana na walioondoka kwenye ulimwengu huu, sikushauri ufanye hivyo na sababu kubwa ni kwamba roho zilizopo kwemye huo mkondo ni sumbufu sana na inahitaji mtu mwenye maarifa ya kutosha kukusaidia kufanya hilo na umakini wa hali ya juu unahitajika kiasi kwamba uki mess up kidogo tu unakuwa umekaribisha series ya matatizo kwenye maisha yako na maranyingine unaweza kujimaliza (kujiua) na wewe kutokana na ushawishi wa hizo roho.

Kwahiyo mkuu just take it easy na amini kuwa amesha kusikia na ameijua nia yako njema na pia ni kwamba anashindwa kukuzuia usifikie kwenye hiyo hatua unayotaka kuichukua kwasababu senses zako hazijafunguka vya kutosha kuweza kuipokea hiyo msg kutoka kwake.

Kuna siku nitaweka thread itakayoelezea maarifa Kama hayo na mengine pia.

I'm out... Take care of yourself mkuu.
 
Hii elimu siku ukiitoa nitag mkuu!! Mie mpenzi sana wa kujua tu japo si mtendaji
 
Kula yale mauyoga walisema humu unaweza kuongea na wafu .Uzi upo humu humu .
 
Back
Top Bottom