Kuna mtabiri alisema Dar itajaa maji tukimbilie Kibaha. Je, ni mvua hii au tusubiri nyingine?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:

Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
 
Yule NABII ni NABII UCHWARA au NABII KIAZI [emoji1648]
IMG-20230905-WA0065.jpg

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tuone... Labda alimaanisha jangwani...
 
Huyo mtabiri kama ni MAHARAGE YA MBEYA ndo naweza nikasema inawezekana. Watabiri wengine ni hakuna
 
Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:

Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
Sisem8 yule jamaa ni muongo,lakini katabiri mambo mengi ambayo hayajatokea.
Halafu jana nimeona video clip anaongea na mdada mmoja,"
Yule mdada anampigia simu huyu clairvoyant anamwambia,"Eh,bwana eh,Bwana(Yesu),kanionyesha katika ndoto hivyo hivyo kama ulivyosema,Dar es Salaam inaangamia lakini wewe(yaani yule mtabiri) anakuja na ndege safi(aeroplane), tunaruka,tunaenda Kibaha".
Kuweka precise date katika utabiri siyo rahisi.
Rahisi zaidi kuweka sequence kwamba: Kwanza jambo hili litatokea,halafu hili litatokea,halafu tsunami itatokea Dar.
 
Basi jiunge na hilo kanisa uje ufaidi tabiri zake maana wanachokuambia wenzio unaona siyo kweli kuhusu huyo mtabiri fake! Ila tu naishia kukuambia kuwa jifunze na uchunguze kwa nini wachungaji wengi ni vijana vijana? Kwa nini waganga wengi wa kienyeji ni vijana vijana?
 
Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:

Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
TMA wamekuwa manabii tena?
 
Back
Top Bottom