Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Sura yake inaonekana mkazi wa msamvu. Hapajui kibaha Wala dsm.Yule NABII ni NABII UCHWARA au NABII KIAZI [emoji1648]View attachment 2818474
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
[emoji23]
Sisem8 yule jamaa ni muongo,lakini katabiri mambo mengi ambayo hayajatokea.Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:
Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
Sisem8 yule jamaa ni muongo,lakini katabiri mambo mengi ambayo hayajatokea.
Halafu jana nimeona video clip anaongea na mdada mmoja,"
Yule mdada anampigia simu huyu clairvoyant anamwambia,"Eh,bwana eh,Bwana(Yesu),kanionyesha katika ndoto hivyo hivyo kama ulivyosema,Dar es Salaam inaangamia lakini wewe(yaani yule mtabiri) anakuja na ndege safi(aeroplane), tunaruka,tunaenda Kibaha".
Kuweka precise date katika utabiri siyo rahisi.
Rahisi zaidi kuweka sequence kwamba: Kwanza jambo hili litatokea,halafu hili litatokea,halafu tsunami itatokea Dar.
TMA wamekuwa manabii tena?Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:
Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
Sasa huyo ataenunua nyumba yeye mafuriko hayatamhusu? Na tuuze magari kwani huko kibaha magari hayafiki?Yule NABII ni NABII UCHWARA au NABII KIAZI [emoji1648]View attachment 2818474
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Sasa huyo ataenunua nyumba yeye mafuriko hayatamhusu? Na tuuze magari kwani huko kibaha magari hayafiki?