Kuna mteule wa juzi anashawishi mteule mwenzake ang'olewe

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Nchi hii ngumu sana!

Hivi, kama wote mmeteuliwa kutumikia nafasi fulani ajabu kwa roho mbaya tu unaamua kumnokolea mteule mwenziyo eti hafai na atatoa siri za kambi kisa tu alikunyang'anya baadhi ya maeneo uliyowaibia wana MCC na kujimilikisha isivyo halali?!

Basi ndugu zangu nisiwachoshe ipo hivi; mteule kamnunia mwenzake na anambagaza kwa kila ubaya ilmradi ang'olewe kwenye wadhifa ule uhusuo mambo ya ushauri pekee.

Mbagazaji kila uchwao ni kulalama tu kwa jamaa zake wenye ushawishi kwa mteuaji akidai mteule mwenzake siyo mtu mzuri hata kidogo na akitolea mifano ya namna alivyo taifisha wakati fulani huko nyuma maeneo yao ya kujidai wakati akiwa kiranja kwenye ile sekta.

Mbagazaji amefikia hatua ya kuapa eti hawezi kufanya kazi na huyo mwamba wa kule iceman.
 
Watu ambao hawana shule huwa ni wapuuzi sana,nilijua lazima alete kidomodomo!
 
Nchi hii ngumu sana!

Hivi, kama wote mmeteuliwa kutumikia nafasi fulani ajabu kwa roho mbaya tu unaamua kumnokolea mteule mwenziyo eti hafai na atatoa siri za kambi kisa tu alikunyang'anya baadhi ya maeneo uliyowaibia wana MCC na kujimilikisha isivyo halali?!

Basi ndugu zangu nisiwachoshe ipo hivi; mteule kamnunia mwenzake na anambagaza kwa kila ubaya ilmradi ang'olewe kwenye wadhifa ule uhusuo mambo ya ushauri pekee.

Mbagazaji kila uchwao ni kulalama tu kwa jamaa zake wenye ushawishi kwa mteuaji akidai mteule mwenzake siyo mtu mzuri hata kidogo na akitolea mifano ya namna alivyo taifisha wakati fulani huko nyuma maeneo yao ya kujidai wakati akiwa kiranja kwenye ile sekta.

Mbagazaji amefikia hatua ya kuapa eti hawezi kufanya kazi na huyo mwamba wa kule iceman.
Pole yake mzee Lukuvi
 
Lukuvi ni gold, hata ukimpaka tope atabaki kuwa gold. Pamoja na chuki yote dhidi yake lakini wenyewe wamelazimika kumweka karibu tena. SSH alipotea njia pale alipodhani mawaziri wote wa JPM ni wabaya. JPM aliwachuja wale watu kwelikweli.

Yaani unamwondoa Kalemani alafu unamweka Makamba, seriously?? Hiyo ni dalili ya wazi kuwa haujui unachokifanya.
 
Pamoja na elimu yake ya UPE ni Bilionea huyo tapeli Bulembo humuingii hata robo Lukuvi si kwa kipesa tu hata umaarufu, Lukuvi hajaanza siasa leo kaanzia Umoja wa Vijana wakati Bulembo kaanzai TAPA
Katika huo ubilionea ni lile jengo chole road na ardhi alizoibia watu na na wizi wa ardhi za watu wasiojulikana au nini?? Pesa za kishenzi huishia ushenzini ngoja tuone atafika wapi huyo kwanza anaumwa ukimwi anapoteza hela zetu kwenda india kila siku kutibiwa hana utajiri wowote wa maana ni dhuluma tu
 
Lukuvi ni gold, hata ukimpaka tope atabaki kuwa gold. Pamoja na chuki yote dhidi yake lakini wenyewe wamelazimika kumweka karibu tena. SSH alipotea njia pale alipodhani mawaziri wote wa JPM ni wabaya. JPM aliwachuja wale watu kwelikweli.

Yaani unamwondoa Kalemani alafu unamweka Makamba, seriously?? Hiyo ni dalili ya wazi kuwa haujui unachokifanya.
Lukuvi ni jambazi namba moja Tanzania na ameitia hasara serikali kwa kuiba ardhi za watu kwa hiyo acha upumbavu wewe kama amekutuma Lukuvi umtetee mwambie aende kwao na awe na adabu na heshima kwa wanawake si alisema mwanamke hawezi kutawala Tanzania??
 
Lukuvi ni gold, hata ukimpaka tope atabaki kuwa gold. Pamoja na chuki yote dhidi yake lakini wenyewe wamelazimika kumweka karibu tena. SSH alipotea njia pale alipodhani mawaziri wote wa JPM ni wabaya. JPM aliwachuja wale watu kwelikweli.

Yaani unamwondoa Kalemani alafu unamweka Makamba, seriously?? Hiyo ni dalili ya wazi kuwa haujui unachokifanya.

Hapo ndipo mnapokosea kwamba hajui anachokifanya? Unaamini kabisa kwamba kuna nia ya dhati ya kuijenga Tanzania kwa manufaa ya wote? Na kwamba viongozi wenu wana nia nzuri na nyie ila wanapotoshwa?
 
Back
Top Bottom