Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Nchi hii ngumu sana!
Hivi, kama wote mmeteuliwa kutumikia nafasi fulani ajabu kwa roho mbaya tu unaamua kumnokolea mteule mwenziyo eti hafai na atatoa siri za kambi kisa tu alikunyang'anya baadhi ya maeneo uliyowaibia wana MCC na kujimilikisha isivyo halali?!
Basi ndugu zangu nisiwachoshe ipo hivi; mteule kamnunia mwenzake na anambagaza kwa kila ubaya ilmradi ang'olewe kwenye wadhifa ule uhusuo mambo ya ushauri pekee.
Mbagazaji kila uchwao ni kulalama tu kwa jamaa zake wenye ushawishi kwa mteuaji akidai mteule mwenzake siyo mtu mzuri hata kidogo na akitolea mifano ya namna alivyo taifisha wakati fulani huko nyuma maeneo yao ya kujidai wakati akiwa kiranja kwenye ile sekta.
Mbagazaji amefikia hatua ya kuapa eti hawezi kufanya kazi na huyo mwamba wa kule iceman.