Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

Mzee wa E90 tupe uzoefu wako.

Yapo ranked katika worst BMW cars, sijawah miliki lakini ninawajua watu wawili, wote wameyapark na wanalalamika kuhusu maintenance. Sawa BM zikianza kuzingua ni msiba ila hii too much. Ingawa kuna miaka ina iafadhali ila ni bora ukatafuta alternative.

Mi nilikua nataka hako pia ukichukulia kodi yake ni ndogo na cif haitishi sana, ila nimebadirisha mawazo ninatafakari kuhusu swift sport ,06/07 kama mbadala.
 
Nitachukua kuanzia ya 2018.

Sichukui ilio chini ya 2013.
 
Min coper shida yake kubwa ni upande wa gear box yake inatumia DSG , ambayo ni moja kati ya gearbox ghali zaidi duniani lakini pia ipo sensitive sana na uwekaji wa oil isiyo sahihi.

Lakini pia wengi wanakosea sana upande wa service namna ya kufanya hapo ndipomakosa huanzia ..... Nimehudhuria work shop ya BMW , ujerumani watengenezaji wanasisitiza unapotaka kununua hakikisha ambayo haina km nyingi.

Hii itakufanya kuepuka matatizo yasiyo ya lazima
 
Min coper shida yake kubwa ni upande wa gear box yake inatumia DSG , ambayo ni moja kati ya gearbox ghali zaidi duniani lakini pia ipo sensitive sana na uwekaji wa oil isiyo sahihi...
Ndio matatizo ya mini hayo.
 
Kwa weekend car sawa.

Kwa daily drive Toyota bado nzuri.

Mini iko chini, sensors nyingi, mafuta yetu mabovu, mafundi wa kutengeneza hakuna n.k
 
Mini Cooper as weekend car its fine.
Mini Cooper kwa daily drive haitamaliza miaka mi2.

Toyota kwa daily drive is the best.
Ulaya gari inatumika tangu 2003 mpaka leo. Ukinunua isipo kaa zaidi ya miaka kumi kwenye mikono yako una matatizo
 
Back
Top Bottom