Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
- Thread starter
- #61
Comment ya mtu mmoja inabadili preference zako? Are you sane?nilishawahi kutaka kununua, actually ulaya hizi gari ni nyingi sana hasa kwa wabahili wa wese. jamaa mmoja hapahapa jf akacomment at magari hayo ni ya mashoga. tangu siku hiyo nikikutana nacho hata barabarani sitaki hata kuviona.
Hakuna sehemu kuna manifesto inayosema hizo gari ni za mashoga.
Na hao mashoga wanatumia bidhaa tunazotumia, simu, magari n.k.
Na mbona kuna nyimbo za mashoga mnazisikiliza?