Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

Earlier models R50/53 zina CVT transmission
 
Kuna jamaa alikuwa ana range na hii mini Cooper. Range sijui ikapata shida gani kwenye transmission ikapaki maana gharama ilikuwa juu kuitengeneza, Alitakiwa kureplace gearbox yote. Akaona isiwe tabu gari likapaki hapo hapo garage huku akijipanga. Akachukua minicooper, akampa fundi afanye na service kubwa kabisa. Fundi abdala blindly akaweka hydrolic ya ist. Ss na minicooper imepaki pembeni ya range.
 
Leo nimeamka na hili gari kichwani.

Nafuatilia reviews youtube hasa Mini Cooper Countryman.

Kama kuna mtu alishawahi miliki au kuendesha hili gari njoo tuchat.

nilishawahi kutaka kununua, actually ulaya hizi gari ni nyingi sana hasa kwa wabahili wa wese. jamaa mmoja hapahapa jf akacomment at magari hayo ni ya mashoga. tangu siku hiyo nikikutana nacho hata barabarani sitaki hata kuviona.
 
Fundi katia shoti ya pilii, usikute hata hiyo ya range aliharibu yeye
 
Sasa kweli kabisa gari yako ya Kijerumani unapeleka kwa fundi ambae hata hajui ATF huwa zinatofauti unategemea nini? Haya magari utunzaji unaanzia kwa mmiliki.
 
Duuuuuuuuu hatari ya mwaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa kweli kabisa gari yako ya Kijerumani unapeleka kwa fundi ambae hata hajui ATF huwa zinatofauti unategemea nini? Haya magari utunzaji unaanzia kwa mmiliki.
Ile nadhani ni CVT akaweka AT...hapo huwezi mlaumu mjerumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…