Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

nilishawahi kutaka kununua, actually ulaya hizi gari ni nyingi sana hasa kwa wabahili wa wese. jamaa mmoja hapahapa jf akacomment at magari hayo ni ya mashoga. tangu siku hiyo nikikutana nacho hata barabarani sitaki hata kuviona.
Comment ya mtu mmoja inabadili preference zako? Are you sane?

Hakuna sehemu kuna manifesto inayosema hizo gari ni za mashoga.

Na hao mashoga wanatumia bidhaa tunazotumia, simu, magari n.k.

Na mbona kuna nyimbo za mashoga mnazisikiliza?
 
mkuu, nenda tu kanonoa cooper. pia endelea tu kusikiliza nyimbo zao. hakuna mtu amekufunga mikono.
 
Comment nyingine ni za kuvumilia tu kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuchagua anachotaka ila tusipotoshe wengine kwenye facts. Sijwahi kusikia gari fulani zinatengenezwa kwa ajili ya mashoga, na siyo issue ya kusikia pekee ila HAKUNA kitu kama hicho, ni FACT. Zipo accessories kwa ajili ya mashoga ila si models maalum
 
mkuu, nenda tu kanonoa cooper. pia endelea tu kusikiliza nyimbo zao. hakuna mtu amekufunga mikono.

Hakuna anayekulazimisha kununua usichotaka au usichokipenda ila aliyekuambia kuwa hizo gari ni za mashoga (inawezekana unamuamini sana) amekujaza na ukajaa kirahisi sana. Jielimishe kidogo vinginevyo machaguo yako mengi yataamuliwa na vigezo vya hovyo.
 
Sahihi kabisa Bora kununua min cooper kuliko ist

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…