Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

nilitokea kupatana na mdada mmoja humu. lakini, alinikataa kisa mimi sifanyi kazi ya ndoto yake. baada ya mwaka mmoja nikaona anafungua uzi kulalamikia wanaume binafsi nilikubaliana na mawazo yake.
 
Wengi waliowahi kuwapata walijikuta wapo desperate..walevi wanabahatisha , wazinzi , wanautafuta mtu wa kumsikia na kujua inawezekana ( wanabipu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…