Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,907
wa muda mfupi au muda mrefu😀Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
wa muda mfupi au muda mrefu😀Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
Vyotewa muda mfupi au muda mrefu😀
😅Tulipatana Mimi na wewe lakini ukanikimbia kutokana na ukata nilionao
Hongera! Mna muda gani kwa hayo mahusiano?Nipo
Me sina huo uhitajiMimi nataka nianze na wewe.
Mwaka wa 10 mkuuHongera! Mna muda gani kwa hayo mahusiano?
couple yangu pendwa JF mnaitwa huku Tayana-wog mtoe ushuhuda 😃😃😃
✋ Nyosha mkono juu...Nipo
Una mwaga kuku kwenye mchele mwingi au siyo...Mwaka wa 10 mkuu
Toa ushuhuda kwa faida ya members, we ni miaka kumi na ngapi?Una mwaga kuku kwenye mchele mwingi au siyo...
Ngoja najaribu kukumbuka... Nitamwaga ushuhuda...Toa ushuhuda kwa faida ya members, we ni miaka kumi na ngapi?
Uki pigwa vizuri, uta jieleza kwamba huyo demu nili toa wapi?
Hongera sana dear 10 years si mchezoMwaka wa 10 mkuu
😂😂😂 Kulikoni tenacouple yangu pendwa JF mnaitwa huku Tayana-wog mtoe ushuhuda 😃😃😃
Usubuhi usubuhi yote wawaza mwenza🤣🤣🤣Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
Sema wana lombanaYaani kila sekunde watu wanapata. Amini hilo.