Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Nipo hapa Mkuu ijapo Nina Miaka 55Mimi kwa sasa sina uhitaji Ila nikiwa nahuitaji naweza kuchapisha tangazo why not
Nipo hapa Mkuu ijapo Nina Miaka 55Mimi kwa sasa sina uhitaji Ila nikiwa nahuitaji naweza kuchapisha tangazo why not
Sawa Mkuu Age it is just a number 😘Nipo hapa Mkuu ijapo Nina Miaka 55
Ila Cocastic unafaa upewe Hadhi ya Platnum member.. unawachangia sana JFYaani kila sekunde watu wanapata. Amini hilo.
Wale tulio na Miaka 55 tutapata nafasi Mkuu?Kuna mdada nataka nimfungulie uzi ili niongeze mke,
Nikifanikiwa nitarudi kuchangia huu uzi kwa kuweka ushuhuda.
🤣🤣🤣SS haya si ya kuongea na kumalizana tu mwanaume unakuja kulia huku?Umenitelekeza bila huruma kijana wawatu nahaha huku kibunda kimejaa sina pakumwagia 😂
Unategemea niishije mimi na hali hii?
🤣🤣🤣🤣Unataka kuwapa maneno waanze kusema “Tulikwambia” 😂
Asante sana Mkuu,namimi hatimae naolewa sasaSawa Mkuu Age it is just a number 😘
Sio kupata mwenza, tulienda mbali zaidi mpaka mahari zilitolewa, na hata watoto walipatikana!Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
AsanteHongera
Umejua kunichekesha jmn Bushmamy 😂😂Asante sana Mkuu,namimi hatimae naolewa sasa
Hapana hata ghetto kwenyewe hujawahi fika licha ya kujitoa kote kule kwaajili yako, nimesemwa hovyo mimi lakini nikakomaa halafu ukanitelekeza 😂🤣🤣🤣SS haya si ya kuongea na kumalizana tu mwanaume unakuja kulia huku?
Unaniangusha Bwana🤣 Selikavu kaa vzr na ndugu yako umpe bag party