Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

Hapana hata ghetto kwenyewe hujawahi fika licha ya kujitoa kote kule kwaajili yako, nimesemwa hovyo mimi lakini nikakomaa halafu ukanitelekeza 😂

Hakuna kujifichia kwenye bag party hapa umenivunja moyo sana, naona Bushmamy jimbo lipo wazi 😂

Ukiendelea kunitelekeza nitajaribu kumwaga sera zangu kwake 😂
🤣🤣🤣
Jamani jamani......
Sawa ongeza basi mgombea mwenza aka mke mdogo anisaidie majukumu
 
Principle girl kwanini umeuliza hivyo?
Ndio unaweza ukapata mwenza humu na sio lazima ujitangaze lakini jinsi unavyoshiriki mijadala unaweza ukavutia mwenye uhitaji.

La msingi punguza matarajio hapo utafanikiwa kupata mwenza
 
Ukiandika waliopigwaaaa na WA awake WA humu ntakuja tenaa
Jpili njemaaaaa...
 
Jmn humu ni story tu
Chai Kwa wingi 🤣🤣

Miss you
Huu utani wangu kuna siku kuna member alinimind lilijua kweli niko serious nalipenda 😹😹😹
Nilivyoliambia nalizingua acha linitukane 🤣
Yani mimi nibebe dipresheni JF niipeleke wapi??

Miss you too Tayana wangu 😍
 
Back
Top Bottom