Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 May 6, 2022 #21 Lakini unasahau kwamba chadema ni Team boys 2 men, hivyo haiwezekani!
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,781 Reaction score 13,444 May 6, 2022 #22 Sukuma gang kumejaa wajinga watupu!
M MZEE RAZA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 3,464 Reaction score 2,454 May 6, 2022 #23 Itovanilo said: Unaonekana unapitwa na mambo mengi Click to expand... Huenda wewe ndo hujaelewa hukumu ya rufaa iliyotoka leo. Ameshinda rufaa ila bado yumo ndani ananyia ndoo akisubiri hatma ya kesi yake ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana. Kwa hiyo bado yumo lupango!!!
Itovanilo said: Unaonekana unapitwa na mambo mengi Click to expand... Huenda wewe ndo hujaelewa hukumu ya rufaa iliyotoka leo. Ameshinda rufaa ila bado yumo ndani ananyia ndoo akisubiri hatma ya kesi yake ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana. Kwa hiyo bado yumo lupango!!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 7, 2022 #24 Hawawezi kuliruhusu hilo litokee...