Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.

Bado tunahitaji Rais kama JPM.

Mungu ibariki Tanzania.
Kifo chake ni big loss kwa taifa, bado napata wakati mgumu sana kuamini tutakuja kupata rais kama jpm. He was different. Naona marais kama yeye kwa africa ni kagame, alikywepi ghadaffi sijui wengine
 
Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.

Bado tunahitaji Rais kama JPM.

Mungu ibariki Tanzania.
Kama Tanzania ilianza mwaka 2015, unachosema ni kweli. Na Kama unaowalenga ni wale waliozaliwa mwaka 1990 kuja mbele uko sawa.

Lakini ukihusisha na kizazi kilichokuwapo kuanzia mkoloni hadi 1980s basi ulichoandika ni UPUMBAVU tu.

Kuna watu walifanya makubwa bila kuua watu na kupeleka maendeleo nchi nzima bila upendeleo
 
.
20230530_221016.jpg
 
Ni kweki kabisa.magufuli alihitajika sana kwa manufaa ya taifa letu.tofauti na sasa nchi imeharibiwa sana na itatuchukua miaka mingi sana kuirudisha kwenye mstari mzuri.kwa sasa kila sehemu rushwa,utendaji wa kazi chini ya kiwango,na uzembe umeongezeka maradufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.

Bado tunahitaji Rais kama JPM.

Mungu ibariki Tanzania.
Mfateni aliko.
Au anzisheni kanisa lake kabisa
 
Kama Tanzania ilianza mwaka 2015, unachosema ni kweli. Na Kama unaowalenga ni wale waliozaliwa mwaka 1990 kuja mbele uko sawa.

Lakini ukihusisha na kizazi kilichokuwapo kuanzia mkoloni hadi 1980s basi ulichoandika ni UPUMBAVU tu.

Kuna watu walifanya makubwa bila kuua watu na kupeleka maendeleo nchi nzima bila upendeleo
Yawezekana alizaliwa 90's
 
Back
Top Bottom