Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.

Bado tunahitaji Rais kama JPM.

Mungu ibariki Tanzania.
Acha ujinga Tanzania ilianza 2015?. Unawajua wazee waliopambania uhuru wa Tanzania. Punguza unafiki.
 
Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.

Bado tunahitaji Rais kama JPM.

Mungu ibariki Tanzania.
Muulize mjane wa Azory,mjane wa Ben Saanane,Tundu Lissu(pigwa risasi za kutosha mchana kweupe eneo na makazi ya viongozi na linalolindwa masaa 24 na CCTV camera zikanyofolewa ili kuficha jaribio la mauwaji) then alipogoma kufa akadhulumia stahiki zake zoteeeee ili akafie mbele huko. Swali la kizushi: HIVI UGOMVI WA PROF ASSAD( CAG ALIYEPITA) NA MAGUFUFULI CHANZO CHAKE NN?
 
Ni kweli kabsaa atakumbukwa after 30yrs later, alikuwa mwanamapinduz wa kweli. Hata Thomas Sankara wakti anauwawa alibezwa, media zikawa corrupt wakamchafua sana ila baada ya miaka 30 akakumbukwa kwa makubwa aliyowatendea wana Bukinabe. Wanamapinduzi hawafi wanapumzika roho zao zinaishi
Ee sawa endeleeni tu kumwabudia shetani wenu na sie tutaendelea kumlaani mpk tuhakikishe kikazi cha aina yake kinafutika ktk ardhi yetu, mrudi kwenu
 
Ukweli ni kwamba JPM alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.

Bado tunahitaji Rais kama JPM.

Mungu ibariki Tanzania.
SI tumekubaliana kuwa ameshakufa tumuache apumzike??
 
Pamoja na ubora wa JPM lakin alikuwa na chemvechembe ya dam ya machafuko,, alikuwa mjivuni na mtu aliyeamin katika yeye Tu.

Watu Kama JPM ni hatar Sana kuwapa nafasi za uongoz Kwan ni kuiweka rehani Amani ya nchi.

Bora ugari Kwa sukari kwenye Amani kuliko wali kuku vitani.
 
Muulize mjane wa Azory,mjane wa Ben Saanane,Tundu Lissu(pigwa risasi za kutosha mchana kweupe eneo na makazi ya viongozi na linalolindwa masaa 24 na CCTV camera zikanyofolewa ili kuficha jaribio la mauwaji) then alipogoma kufa akadhulumia stahiki zake zoteeeee ili akafie mbele huko. Swali la kizushi: HIVI UGOMVI WA PROF ASSAD( CAG ALIYEPITA) NA MAGUFUFULI CHANZO CHAKE NN?
Hao ote umetaja huna ushahudi kama JPM alihusika hata siku Moja.

CAG aliyataka mwenyewe tu. Yule jamaa hayuko professional ni mtu na tabia zake za ajabu ajabu.

Kazi ya CAG ni kutoa report - baada ya hapo management ndio itashughulikia matatizo aloyaona.. Sasa yeye kaensa hadi Marekani kusema serikali vibaya kama kibaraka. Hata Mimi namtumbua.
Umeona ma CAG wangapi duniani wakifanya siasa kwenye mambo ya ukaguzi?
 
Pamoja na ubora wa JPM lakin alikuwa na chemvechembe ya dam ya machafuko,, alikuwa mjivuni na mtu aliyeamin katika yeye Tu.

Watu Kama JPM ni hatar Sana kuwapa nafasi za uongoz Kwan ni kuiweka rehani Amani ya nchi.

Bora ugari Kwa sukari kwenye Amani kuliko wali kuku vitani.
Maneno maneno tu...hata wewe unaweza ukasingiziwa.

tulimpenda sana walahi. Hadi sasa tunaendelea kuzindua miradi iliyotokana na mapenzi yake nchi hii.

Tangu afe hadi Leo hao wapinzani wake wamefanyia Nini hii nchi?
 
Back
Top Bottom