Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
 
pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analal na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
Kijana huna uzoefu na ndoa.. Bora ukapita kimya kimya 😅😅😅...

Alafu kwanini msio na ndoa mmeamua kuwa wasemaji wa wenye ndoa
 
Mwingine nipo nimemuacha Bar muda sio mrefu anasema wife katumia Hela yake yote kulipa kwenye kikundi alikuwa anadiwa.

Anasema wife kajieleza lkn jamaa hajamuelewa ameona aje anywe kwanza ndo arudi. Naona hata mzungu wa nne hapa haupo Kuna mmoja atalala jikoni ama sebreni
Daah,
Huyo mwamba hawezi hata kujiwekea kibubu binafsi benki, kwenye simu, nk?
 
Hiv Kweli mim ni wa kumnunulia dj bia Saba, counter bia tisa, meza ya pembeni yangu mbia kumi na mbili, waiter bia tatu, jikoni msosi supu ya ulimi mzima ... Dear drunkers pesa ya chakula nyumban mkabidhi mkeo utanishukuru letter
 
Back
Top Bottom