Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
ni ubwege mwanaume hayupo ivyoNa mwigine yuko Bar anaogopa kurudi home.
watu waish sogea tukae kama wakichokna watu wabebe vyao wagawane njiaNadhani ndoa sio ya kila mmoja. Sio mwanamke wala mwanaume.
mbaya mnooHatari sana
Inabidi muwe wanafiki. Hatari sana yaaniMe nawaza niishi na adui mmoja chini ya paa moja. Tunashea kila kitu kuanzia vyombo hadi kitanda.
sasa si bora mtu muachaneKuna wengine wanalala vyumba tofauti kabisaa
ila anajipa moyo kisa kucha nyeupe kma zakemwingine anawaangalia watoto wake wote anaona hata hafanani nao...
Haha,sasa si bora mtu muachane
Kijana huna uzoefu na ndoa.. Bora ukapita kimya kimya π π π ...pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analal na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
Daah,Mwingine nipo nimemuacha Bar muda sio mrefu anasema wife katumia Hela yake yote kulipa kwenye kikundi alikuwa anadiwa.
Anasema wife kajieleza lkn jamaa hajamuelewa ameona aje anywe kwanza ndo arudi. Naona hata mzungu wa nne hapa haupo Kuna mmoja atalala jikoni ama sebreni