Kuna press moja trump alikua anafanya na waandishi wa habar mwandishi mmoja wa kihindi akamuuliza swali 😂 trump akauliza ameongea Nini 😃
Wanigeria na wahindi ni kazi sana kuwaelewa
Nilikuwa na Mwingereza mmoja,sasa rikakutana na Mnaijeria atupe maelezo flani, anamaliza kuongea jamaa ananiuliza huyo jamaa alikuwa anaongea lugha gani? Nikamwambia kingereza, alishangaa sana maana yeye hakuelewa chochoteHivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
View attachment 3578391
Ndio maana wewe kuelewa ni ngumu.Lakini sisi huwa tunaongea Kiswanglish na mtu anayejua Kiswahili wao hiyo lugha yao ni kama wanaongea na mtu yeyote.
Wahindi kiboko, speed yao ya kuongea kingereza plus lafudhi lazima utoke kapaKuna press moja trump alikua anafanya na waandishi wa habar mwandishi mmoja wa kihindi akamuuliza swali 😂 trump akauliza ameongea Nini 😃
Wanigeria na wahindi ni kazi sana kuwaelewa
Kuna mtu huwa anaelewa kiingereza cha Tanzania? Pilipili too much.Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
View attachment 3578391
Hata kiswahili, mimi niko chuo marafiki zangu waZanzibar Kiswahili changu wanaita kiswahili Cha Dar wanaona kigumu na Kuna mmoja kutoka Pemba ndio ilikuwa hatari napata tabu kumuelewa Bora hata wa Unguja.I dey sabi, no wahala!
Lugha ya mtaani hiyo wanaita Nigerian pidgin
Kile unachosikia mara nyingi si English ya kawaida bali ni mchanganyiko English na lugha za asili kama Yoruba, Igbo, na nyinginezo.
Ina sarufi na msamiati wake tofauti kabisa,
Wetin - what
How far? - Mambo?
I dey fine - niko poa
No wahala - no problem
Sawa na vile Sheng ya Kenya au hata mtu wa Tz Bara hawezi kumuelewa vizuri wa Zbar ambao nao kuna wale wa Makunduchi hawawaelewi na kuna watu Dar pia ngumu kumuelewa mwenyeji aliyekulia Vingunguti, Manzese au Buguruni
Wanaongea kama secretarybird akiwa anatongoza Warembo wa Jf 🤣😆WaNigeria wanaongea vibaya sana
Kiufupi Nigeria hakuna kizuri
Mkuu, Mimi siwatongozi kwa kuwaongelesha bali nawaonesha tu muhogo wangu wa ajabu na mtoto ananasa.Wanaongea kama secretarybird akiwa anatongoza Warembo wa Jf 🤣😆
Ongezea mfereji (Bomba), kipolo (Kiroba).Kiswahili cha Zanzibar kwa 90% kinaeleweka, Kuna maneno machache huwa yanaweza kuwa mapya lakini bado ni rahisi kuyaelewa ukivuta picha kidogo mfano skuli, tunguja, marikiti, ushanifahamu n.k
Basi secretarybird anateseka sana 😂Wanaongea kama secretarybird akiwa anatongoza Warembo wa Jf 🤣😆
Neno “ask” wanatamka “aksi”
🤔