Kuna mtu huwa anaelewa Kingereza cha Nigeria?

Kuna mtu huwa anaelewa Kingereza cha Nigeria?

Kwanza nicheke 😁😁
Kuna hawa majirani zangu sijui wachezaji wana tafuta team ya kucheza wakiongea wana kelele🙌

Kila kitu mwisho kina neno yoooo oooh heh😄 hatari sana
 
Waingereza tofauti yao ni accent zaidi, Adele akiongea kukiwa na subtitles utaelewa hao Wa Nigeria hata mfano Burna boy akiimba na subtitles bado kuelewa ni mtihani.


Mfano ni huu wimbo wa 2face “See me so”

Oh, oh, yea, yea
Yea
Oh, oh, yea, yea
As you see me so oh
I no send, I no send you oh
Yea, yea
As you see me so, I no send you oh (I no send you oh)
But that one no mean say I no dey wish you well oh
I mind my own business and I don't give a shit!
But I still dey feel you oh
'Cause we are one in the same one struggle, hustle, bustle
'Cause without you, there'll be no one to call my brother
I say without you, there'll be no one to call my neighbour
I say without you, there'll be no one to show I care
Oh, with you there'll be no me
That's why I say
I don't want you to look at me like a stranger (I'm not a stranger)
I don't wanna come across to you like just another nigga (just another nigga)
I know you cannot trust nobody, but you have to trust someone
Oh, that is why I want you to see me as your brother
 
Nilikuwa na Mwingereza mmoja,sasa rikakutana na Mnaijeria atupe maelezo flani, anamaliza kuongea jamaa ananiuliza huyo jamaa alikuwa anaongea lugha gani? Nikamwambia kingereza, alishangaa sana maana yeye hakuelewa chochote
Umenichekesha sana master.
Nimecheka mpaka mbavu zinauma 😂😂😂
Wanaigeria na Wahindi kiingereza chao ni takataka.
 
Hata wakenya kusema kweli kiswaenglish chao kinakera.

Ni shida yetu waafrika hiyo, utambulisho hatuna. Lugha zetu hatujui, na lugha za kikoloni pia hatujui, tunazichanganya.

Na hapa tz huo upumbavu umeanza, hasa kwa wanawake. Kiswahili hawajui, wanachanganya na kiingereza ambacho hawajui pia.
Wakenya wengi wanazungumza Kingereza, lugha za makabila yao na Kiswahili lakini kisicho fasaha sana. Hawa Waswahili wa bongo ni kero na vituko kwa sababu hawajui kabisa Kingereza(kuzungumza au kusikia) lakini wanalazimisha kuchanganya maneno.
 
Back
Top Bottom