Ukimtoa MANDELA anafatia TAL hapa AfricaUwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango. Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Yeye si jasiri tu bali ni genius ana uelewa mpana wa mambo mbalimbali na ni nguli wa sheria,Nchi za wenzetu vipanga kama Lisu huwa Hazina na wanawatumia ipasqvyo ila hapa kwetu wanapiga risasi na kuwekwa gerezani,watesi hawaki challenges wanataka mazwazwa ,vipanga kama Lisu hawatakiwi kabisaUwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango. Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Mandela hamfikii Tundu ,Ukimtoa MANDELA anafatia TAL hapa Africa
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Wewe unaongea nini isee kuna watu majasirinkama wazee wa tanu wakiwa na mwalimu Nyerere in 1950s yaani imagine wanaenda kudai uhuru yaani wapewe nchi ambayo hawajaiunda wala kuitengeneza wao.Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Mungu amtunze kiongozi wetu Mhe. TAMLUkimtoa MANDELA anafatia TAL hapa Africa
MchungajiUwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Lissu gerezani hata mwaka hajamaliza kaanza kulia lia mazingira mabovu Madiba aligonga 27 years acha michezo mkuuMandela hamfikii Tundu ,
Mandela hajawahi kupigwa Risasi Aisee , Ujasiri wa Tundu umeshindikana Bahati mbaya iliyopo kwake ni kwamba anaishi ktk wakati Ambao Kuna Kizazi Cha Hovyo kinachopatikana katika Ardhi ya Tanzania, Kwa Ujasiri Alionao Alipaswa kuzaliwa katika mataifa ya watu wenye Akili nyingi na Ari kubwa yenye uthubutu
Vijana gani ?Tundu Lissu ni Shujaa na jasiri. Sasa hivi anapanda mbegu kwa vijana. Kuna kizazi ni mashahidi wa udhalimu unaondelea muda si mrefu mbegu zinakwenda kuchipua.
Siasa ndivyo zilivyo hasa AfrikaYeye si jasiri tu bali ni genius ana uelewa mpana wa mambo mbalimbali na ni nguli wa sheria,Nchi za wenzetu vipanga kama Lisu huwa Hazina na wanawatumia ipasqvyo ila hapa kwetu wanapiga risasi na kuwekwa gerezani,watesi hawaki challenges wanataka mazwazwa ,vipanga kama Lisu hawatakiwi kabisa
Maana ukisema tu jasiri ata mtikila alikuwa jasiri hakuogopa yeyote
Wewe unaongea nini isee kuna watu majasirinkama wazee wa tanu wakiwa na mwalimu Nyerere in 1950s yaani imagine wanaenda kudai uhuru yaani wapewe nchi ambayo hawajaiunda wala kuitengeneza wao.
kuna vitu vinafikirisha sana.
Lissu amejitolea kufa Ili awe martyrLissu gerezani hata mwaka hajamaliza kaanza kulia lia mazingira mabovu Madiba aligonga 27 years acha michezo mkuu