hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Wewe unavyoona ungepigwa Risasi kama zile alizopigwa lissu ungerudi na spirit kama aliyonayo lissu !?Lissu gerezani hata mwaka hajamaliza kaanza kulia lia mazingira mabovu Madiba aligonga 27 years acha michezo mkuu
Kwani Mandela alipofungwa alikuwa halalamiki usinichekeshe š¤£š¤£
Hivi kabisa unahoji kuhusu Hilo , Kuna mtu mwenye Ujasiri wa kuvumilia tukio kama la kupigwa Risasi la lissu then arudi tena na kuendeleza movement zake bila ya kujali familia yake Na hofu juu ya kifo chake wakati tukio lilomfika Alilichungulia kaburi na jeneza lakini wapi hajakata tamaa
Tundulisu ni habari nyingine Mzee acha kabisa ,