4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mimi namzidi sema tu amenizidi kidogo, mwamba anabalaa uyu, ngoja kwanza mashahidi wake wafike mahakama kuu , awanyooshe kwanza , ndo watajua wajukuu wa machif mfano Mkwawa wapo bado TanganyikaUwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.