MkuuXyz
Senior Member
- Jun 18, 2025
- 161
- 280
Yes, No One Can Top Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Lakini
kama swali lako linahusu kwa upande wa upinzani na siyo kwa Nchi kwa Ujumla then may be.....
Lakini Kumbuka kuwa Wantanzania wengi wa sasa ni waoga, Hata kama unapata Kiongozi Kama Lissu halafu wanachi hawamsapoti pale anapowahitaji, Itabaki kuwa story time tu.