Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Maybe mimi
Joseph Guzman alisurvive baada ya kupigwa risasa 19anafaa kuingia kwenye Guinness Book of Records
Akarudi kupambana katika Uchaguzi 2020 kweli Lisu ni jasiriHayupo.
Kwa Tanzania Sidhani kama kuna mtu jasiri kuliko Lissu.
Kama yupo labda yule ambaye hana pa kusemea.Bado hajawa public figure.
Unakumbuka wakati wa jiwe?
Watu wote waliufyata hakuna aliyejaribu kufungua mdomo wake kuongea hata rais mstaafu JK aliufyata baada ya kuambiwa anawashwawashwa.
Ni Lissu pekee aliyesimama na ku battle na jiwe toe to toe.
Hata baada ya kumiminiwa risasi zaidi ya 30 watu wakajua atafyata lakini kinyume chake,akaendeleza harakati kama kawaida.
Kumbe na mandela naye alikuwa tanzania?Ukimtoa MANDELA anafatia TAL hapa Africa
Umeielewa post au,post inasema mtu jasiri zaidi ya lissu kutokea tanzania,hapa inazungumziwa tanzaniaJoseph Guzman alisurvive baada ya kupigwa risasa 19
Kuna Dustin Theoharis alisurvive gunshot 16 baada ya kumiminiwa risasi na Polisi 2012,
kuna jamaa wa North Carolina alisurvive baada ya kumiminiwa risasi 20 mwaka 1995
Si maanishi kua ile attempt assassination ya TL haikua ya hatari.
Alikuwa kijijini kwenuKumbe na mandela naye alikuwa tanzania?
Tatizo la hayo mataifa uliyoyataja haki na sheria huamua ni tofauti na huku haki ni matamshi tuu na sheria zinapindishwaMandela hamfikii Tundu ,
Mandela hajawahi kupigwa Risasi Aisee , Ujasiri wa Tundu umeshindikana Bahati mbaya iliyopo kwake ni kwamba anaishi ktk wakati Ambao Kuna Kizazi Cha Hovyo kinachopatikana katika Ardhi ya Tanzania, Kwa Ujasiri Alionao Alipaswa kuzaliwa katika mataifa ya watu wenye Akili nyingi na Ari kubwa yenye uthubutu
Unaleta habari za afrika wakati umeulizwa Tanzania ila wahaya sijui nani kawalogaAlikuwa kijijini kwenu
Hata umchukie vipi bado huna uwezo na serikali yote ya kuweza kumfikia ujasiri aliyonao.Jasiri gani analialia kulala deathrow.. Mpayukaji tu huyo hana ujasiri wowote. Eti wengine wanasema alibattle na jiwe toe to toe, huyo alikimbilia ubelgiji amekuja kurudi tu awamu hii ya Samia..
Mungu ata muweka hai 2030 tupo naeHuyo ni mwamba. Siku anapofikishwa Mahakamani furaha, afya iko palepale. Take my words 2030 he is going to be the 8th President of United Republic of Tanzania if God keeps him alive.
Wakoloni wa Tanzania hata hawakuwa makatili kihivyo kuanzia 1950's baada ya vita vya pili vya dunia.Wapo au walikuwepo kuna watu walipigania ardhi hii lkn nyerere akawa mchoyo akajitangazia pekeyake lkn historia inahukumu pia fatilia
Sawa mkuuUnaleta habari za afrika wakati umeulizwa Tanzania ila wahaya sijui nani kawaloga
Mtenda miujiza Pasta Tony alikuwa kwenye uzinduzi wa kanisa la Mwamposa tena alipewa nafasi jukwaani na alimuomba Samia ampe Mwamposa kiwanja cha Kawe.Ndiyo yupo mtenda miujiza wa Yesu Pasta Tony jasiri hadi anajaza mtungi wa gas kwa kupuliza na mdomo
jasiri wa kuropoka mnyonge wa sheria mahakamani 🐒Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Ndioooo na si mwingine bali ni Lyatonga MremaUwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!
Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Mimi sijaijibu post bali nimejibu niliyemquote coz ameesema kua issue ya Lisu inafaa iwekwe kwenye Guiness World Record,ndio maana nikamuwekea hayo matukio,Umeielewa post au,post inasema mtu jasiri zaidi ya lissu kutokea tanzania,hapa inazungumziwa tanzania
Tuntemeke SangaUwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.