Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

Hamkumjua mchungaji mtikila tatizo lenu wengi mlikuwa kwenye zipu au lah mnaitegemea you tube na stori zenu za kukalili
 
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.

Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!

Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Marehemu mtikila
 
Yupo Mdude Nyagali.
Alipitia magumu mengi sana na hakuwahi kurudi nyuma hadi alipotekwa tena na kupotelea kusikojulikana
 
Hakika hakuna kama lissu,ni jasiri sana na mwenye kipaji cha kujieleza na kuchambua mambo yote mhimu kwa binadamu,tunamwombea kwa mungu aendelee kumlinda,,na kwa mitihani hii anayopitia ndo anazidi ku shine.😂🙏🙏🙏💪
 
Lissu ni kichaa sio kwamba hana akili timamu hapana ameamua kua kichaa ili huweze kubadilisha vitu sometimes inabidi uwe kichaa hata mambo ambayo watu kwa macho ya kawaida wanaona haiwezekani ukiwa kichaa inawezakana kumbuka kichaa anaona vitu ambavyo hatuwezi kuona kwa macho ya kawaida so Genius lazima hawe na kauichaa flani Lissu hajaachana mbali na Magufuli Japokua Magufuli alipenda sifa binafsi ila alikua mtendaji mzuri wa kazi Lissu anapenda haki. Hiyo ndo tofauti kubwa Lissu na Magufuli
 
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.

Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!

Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Ukiacha Moringe sokoine, Lisu ndio mtu wa pili kwa ujasiri na uzalendo,
Hii nchi ilipofikia, ccm wamewafanya wananchi kama subjects, vikaragosi vya kuswaga kama punda, vilipe Kodi, kenge wa ccm wale, waibe,watunishe makalio, na, vitambi!
Salama pekee ni kutokee vijana pale mabakamabaka, tembo card, wapindue nchi tu, tatizo, na kwenyewe wamejaa machawa tu,
 
Wanasiasa wengi huongea mambo wasiyomaanisha,Kwa Lissu ni tofauti amenyooka mno anaongea kutoka moyoni.Ana msimamo thabiti na ana track record.Angekuwa na makandokando asingekuwa na msimamo.

Kwa sasa siyo Tanzania pekee,Lissu ni icon Africa na duniani.Ndiyo maana ni makamu wa Rais wa IDU kutoka Africa.
 
Wewe unaongea nini isee kuna watu majasirinkama wazee wa tanu wakiwa na mwalimu Nyerere in 1950s yaani imagine wanaenda kudai uhuru yaani wapewe nchi ambayo hawajaiunda wala kuitengeneza wao.
kuna vitu vinafikirisha sana.
Unakumbuka hata mmoja aliyepigwa risasi hata moja,akapona halafu akaendeleza harakati?
 
Jasiri gani analialia kulala deathrow.. Mpayukaji tu huyo hana ujasiri wowote. Eti wengine wanasema alibattle na jiwe toe to toe, huyo alikimbilia ubelgiji amekuja kurudi tu awamu hii ya Samia..
Mbona alirudi kugombea URAIS kipindi cha JPM tena akiwa anachechemea baada ya mapigo 16 ya risasi.
Mama Samia alivyoenda Zanzibar akakuta simba jasiri sana,akauliza kama kashapewa jina,akajibiwa bado,akasema mwiteni Tundu Lissu,we unadhani kwanini?
 
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.

Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!

Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Alisema ni mjukuu wa chief lakini ni mtata tangia kitambo mwalimu nyerere Anamjua lakini pale galanos alichapisha barua ya mgomo akaiweka kwenye ubao wa matangazo na tangia msingi ilikuwa hawahi namba wala kwenda na mbolea shuleni na alisimamia wanafunzi wenzake akiwa primary school wasiende kufanya kazi kwa walimu kwani hilo sio miongoni mwa majukumu yao kama wanafunzi.
 
Lissu ni kichaa sio kwamba hana akili timamu hapana ameamua kua kichaa ili huweze kubadilisha vitu sometimes inabidi uwe kichaa hata mambo ambayo watu kwa macho ya kawaida wanaona haiwezekani ukiwa kichaa inawezakana kumbuka kichaa anaona vitu ambavyo hatuwezi kuona kwa macho ya kawaida so Genius lazima hawe na kauichaa flani Lissu hajaachana mbali na Magufuli Japokua Magufuli alipenda sifa binafsi ila alikua mtendaji mzuri wa kazi Lissu anapenda haki. Hiyo ndo tofauti kubwa Lissu na Magufuli
Kama ni kichaa kwa nini sasa hawampeleki Mirembe??
 
Lissu gerezani hata mwaka hajamaliza kaanza kulia lia mazingira mabovu Madiba aligonga 27 years acha michezo mkuu
Acha umavi wewe, kupigwa na risasi moja nisawa jela maishani au kunyongwa.
 
Wewe unaongea nini isee kuna watu majasirinkama wazee wa tanu wakiwa na mwalimu Nyerere in 1950s yaani imagine wanaenda kudai uhuru yaani wapewe nchi ambayo hawajaiunda wala kuitengeneza wao.
kuna vitu vinafikirisha sana.

..Nyerere na wenzake katika Tanu hawakupitia mateso na udhalimu wanaopitia Chadema, na wapinzani.

..Hivi umewahi kusikia mahali popote kwamba kuna mwanachama wa Tanu aliuwawa kinyama kama Mzee Ally Kibao, au Mdude Nyagali?
 
Ukiacha Moringe sokoine, Lisu ndio mtu wa pili kwa ujasiri na uzalendo,
Hii nchi ilipofikia, ccm wamewafanya wananchi kama subjects, vikaragosi vya kuswaga kama punda, vilipe Kodi, kenge wa ccm wale, waibe,watunishe makalio, na, vitambi!
Salama pekee ni kutokee vijana pale mabakamabaka, tembo card, wapindue nchi tu, tatizo, na kwenyewe wamejaa machawa tu,

..Moringe Sokoine hakuwahi kunyanyaswa na kutiwa misukosuko na vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom