Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

Moja ya zawadi Taifa hili limepewa basi ni ndugu Tundu Lissu the guy is gifted
 
Kuna yule mchungaji aliyefungua kesi ya aina yake dhidi ya kanisa alifariki kwa ajari
 
Yeye ni ujumbe tosha, huenda sie waTanganyika ndio tunachelewa kuutafsiri ujumbe ama ni bongo zetu nzito.
 
Ndio msambya kama ulikuwa hufaham
 
Thubutu zake, alivyokuwa fisi askari kibao kwenye misafara yake, mara niombeeni. Umeona popote Lisu anajiliza aombewe? Au umemuona anazungukwa na maaskari kibao?
Azungukwe na askari kwa kipi?? Muulize Kwanini alikimbilia ubalozini 2020
 
In shaa Allah utaupata ulemavu wa maisha. Jiwe ameshakufa amemwacha Lissu yuko hai.
Unatoa e-laana teh teh teh.. chiba analala kwenye sewage na wapambe hamna cha kufanya
 
Mbona alirudi kugombea URAIS kipindi cha JPM tena akiwa anachechemea baada ya mapigo 16 ya risasi.
Mama Samia alivyoenda Zanzibar akakuta simba jasiri sana,akauliza kama kashapewa jina,akajibiwa bado,akasema mwiteni Tundu Lissu,we unadhani kwanini?
Hata Mbowe aliitwa mwamba.. angekuwa jasiri asingekamatwa kama kuku pale Songea mbele ya wafuasi wake
 
Mimi mzee wa zamani namkumbuka kambona ndiyo alikuwa jasiri kuliko Tundulisu.
 
Maalim Seif Hamad na Oskar Kambona na Sokoine na Nimemsahau jina
 
Azungukwe na askari kwa kipi?? Muulize Kwanini alikimbilia ubalozini 2020
Hakuna mwanaume kama Lisu,huo ndo ukweli.Hata walivomkamata songea walikuja makomandoo sio kina kajala na harmonize wewe unawaita mapwolisi
 
Samia anweza kuwa jasiri kumzidi Lissu.

Lissu na ubabe na ujasiri wake wote hajawahi kuwasema vibaya wazungu hata siku moja ila tumeona Samia akiuliza Who the fuckk are they?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…