Kuna mtu kaishia hata form 4 lakini atashindwa hii hesabu ndogo

Kuna mtu kaishia hata form 4 lakini atashindwa hii hesabu ndogo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20260113_140404.jpg
 
JAWABU NI 18

Umenikumbusha demu wangu mmoja..

Nilifanya assignment ZOTEEE na dissertation yake nili mfanyia yeye alifanya ku defend.

Yule dada alipenda kuniambia DR.AM 4REAL PHD WEWE UNA AKILI ZA DARASANI ILA HAUNA AKILI ZA MAISHA😂😀

NB. BORA UWE NA AKILI ZA MAISHA KULIKO ZA DARASANI..YULE DEMU NI MTOTO WA KIGOGO KUNA SIKU NILI MWONA MZEE WAKE YUPO KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE ANAONGEA NA WANANCHI NIKATAKA NIMFUATE NIMU ULIZIE BINTI YAKE NIKAJISHAURI NIKA KACHA.
Ungeeenda lock up😂
 
Pesa zako au za shemeji😂, umekaa unasubiria vitumbua maana watoto wake wamemaliza🤣
Ni raha sana , sina stress za kula wala Kodi narudi nafanya kazi zangu narudi msosi uko mezani pesa zangu zinaenda bank tu naongea na ATM mpaka natoka nyumbani tayari Millionea wa nguvu.
 
Pesa zangu zinaweza kukulisha wewe kwa takribani mwezi mzima
Alafu nikitaka kubattle na wewe nakumbukaga kumbe wewe ni katoto kadogo sijuui umemaliza form 6 2021 tena kanako sumbuliwa na syndrome ya utapeli wa itikadi kali

🚮

Chaoo bxch, endelea kubishana na waishio kwa shemeji wenzio.
20260114_095418.jpg
 
Dah mtoa mada nisahihishe kma nitakua nimekosea

Jawabu ni 12

3×4=12 je ni sahihi?
 
Alafu nikitaka kubattle na wewe nakumbukaga kumbe wewe ni katoto kadogo sijuui umemaliza form 6 2021 tena kanako sumbuliwa na syndrome ya utapeli wa itikadi kali

🚮

Chaoo bxch, endelea kubishana na waishio kwa shemeji wenzio.
View attachment 3529675
Wewe ndio kati ya makubwa zembe bogus kabisa , unaangalia umri au content na hoja za mtu ? Nabii Musa (Peace be upon Him) alitumwa akiwa mdogo sana kwenda kwa LiFirauni ambaye ni kubwa Zima umri kama Baba yake , huoni hapo umri haujazingatiwa bali akili na hoja ?

Huoni kuwa maendeleo kwangu nipo Jf tokea form one kama guests na nikajiunga rasmi 2017 Niko form 3 kipindi hiko vijana kama Mimi wanashinda fesibuku kupost upuuzi Mimi nashinda Jf nachukua madini ndio maana mpaka Leo sijawahi kuwa Facebook wala TikTok zaidi ya humu ?

Wewe katika umri kama wangu usikute ulikuwa unapombeka na unafanya maujinga mengine hata Jf hauijui joined juzi kati tu Mimi nipo nakiwasha humu kwa hoja na nimeacha Legacy kubwa mpaka nikashika nafasi ya pili kwenye members Bora wa jukwaa la Elimu sio chitchat na nimesaidia wengi privately na humu jukwaani kwenye masuala ya kielimu nikawa ndio mndewa wa jukwaa katika umri mdogo ?

Ukisearch nyuzi zangu Kuna za utafiti , uchambuzi , counter narrative, historical facts na nyinginezo ambazo zina madini na engagement kubwa mpaka watu wazito Jf wamezikubali katika umri huo huo , Kuna nani katika umri wangu kafanya hayo hapa Jf mpaka watu wazima wengi wanakuja inbox wakiomba ushauri kuhisi nina kitu ?

Hujioni wewe kubwa jinga unaangalia umri badala ya hoja , Daudi (peace be upon Him) alimshinda Goliati kubwa jinga akiwa na umri na Goliati alikuwaje kwake kiumri ?
1000027044.jpg
 
Back
Top Bottom