Kuna mtu kaishia hata form 4 lakini atashindwa hii hesabu ndogo

Kuna mtu kaishia hata form 4 lakini atashindwa hii hesabu ndogo

Alafu una hii akaunti nyingine inaitwa Munch wa Annabelle ndio unayotumia kutongoza vidume wenxio😀

#jasusicohen
Mimi hata niwe na ID mpya hauna akili ya kugundua ID na hakuna hata mmoja atakayeweza kunitambua sababu I'm a Consigliere .

Kuna wakati mliwahi kuzusha kuwa ID yangu nyingine ni ya Mufti kuku The Infinity kisa mwamba kaweka avatar kama yangu na Muislamu baadae walikuwa na mtizamo huu baada ya uchunguzi wao wenyewe wakatubu kuwa sio Mimi.

Much na Mimi mitizamo tofauti kabisa Kuna wakati mpaka anatukanana na watu , sasa Mimi kamwe siwezi kutukanana Wala kujibizana matusi na mtu
 
Back
Top Bottom