Kuna mtu kaishia hata form 4 lakini atashindwa hii hesabu ndogo

Ungeeenda lock up😂
 
Pesa zako au za shemeji😂, umekaa unasubiria vitumbua maana watoto wake wamemaliza🤣
Ni raha sana , sina stress za kula wala Kodi narudi nafanya kazi zangu narudi msosi uko mezani pesa zangu zinaenda bank tu naongea na ATM mpaka natoka nyumbani tayari Millionea wa nguvu.
 
Pesa zangu zinaweza kukulisha wewe kwa takribani mwezi mzima
Alafu nikitaka kubattle na wewe nakumbukaga kumbe wewe ni katoto kadogo sijuui umemaliza form 6 2021 tena kanako sumbuliwa na syndrome ya utapeli wa itikadi kali

🚮

Chaoo bxch, endelea kubishana na waishio kwa shemeji wenzio.
 
Dah mtoa mada nisahihishe kma nitakua nimekosea

Jawabu ni 12

3×4=12 je ni sahihi?
 
Wewe ndio kati ya makubwa zembe bogus kabisa , unaangalia umri au content na hoja za mtu ? Nabii Musa (Peace be upon Him) alitumwa akiwa mdogo sana kwenda kwa LiFirauni ambaye ni kubwa Zima umri kama Baba yake , huoni hapo umri haujazingatiwa bali akili na hoja ?

Huoni kuwa maendeleo kwangu nipo Jf tokea form one kama guests na nikajiunga rasmi 2017 Niko form 3 kipindi hiko vijana kama Mimi wanashinda fesibuku kupost upuuzi Mimi nashinda Jf nachukua madini ndio maana mpaka Leo sijawahi kuwa Facebook wala TikTok zaidi ya humu ?

Wewe katika umri kama wangu usikute ulikuwa unapombeka na unafanya maujinga mengine hata Jf hauijui joined juzi kati tu Mimi nipo nakiwasha humu kwa hoja na nimeacha Legacy kubwa mpaka nikashika nafasi ya pili kwenye members Bora wa jukwaa la Elimu sio chitchat na nimesaidia wengi privately na humu jukwaani kwenye masuala ya kielimu nikawa ndio mndewa wa jukwaa katika umri mdogo ?

Ukisearch nyuzi zangu Kuna za utafiti , uchambuzi , counter narrative, historical facts na nyinginezo ambazo zina madini na engagement kubwa mpaka watu wazito Jf wamezikubali katika umri huo huo , Kuna nani katika umri wangu kafanya hayo hapa Jf mpaka watu wazima wengi wanakuja inbox wakiomba ushauri kuhisi nina kitu ?

Hujioni wewe kubwa jinga unaangalia umri badala ya hoja , Daudi (peace be upon Him) alimshinda Goliati kubwa jinga akiwa na umri na Goliati alikuwaje kwake kiumri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…