Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

TF,

Huyu jamaa iko gonjwa. Kwetu sisi tunaoishi Segerea (ndani ya ndoa) hata kuwaza tu kwamba Bibi anaweza kugawa uroda nje BP inakaribia 200mmHG!! Hapo ni kuwaza tu!

Nadhani baada ya kumfumania nitaomba ED kama za siku 14 na kumwomba dokta wangu asikae mbali na mimi. Hiyo ni mara moja tu. Mara ya pili nikimwona na kukaa kimya si itakuwa ni R.I.P tayari? Sitaki kujiua....Bora kila mtu akamate mchuma wake...

Kuchovya chovya nje ni kutamu sana ila hakuta kitu kigumu kama kufania. Bahati mbaya sijawahi kupata hata mtu wa kunisimulia inakuwaje....No please....., tuache utani!
:lol::lol::lol::lol:
 
Duh Kyabu, uwe unasamehe bwana, kama vile wewe unavyosamehewa na wale wanaokukosea.
Au sio?

Kama haujafumaniwa huwezi kujua kama unaweza kusamehewa au la? Kwahiyo sijawahi kusamehewa..
 
Via Mobile, nani alikwambia kwamba,
solution ya matatizo ya ndoa ni kuikimbia, au
kuachana?
je,huko utakapopata mwenza mwingine itakuwa ni peponi,
kiasi ambacho hakutakuwa na magomvi tena?

Wazinzi utawajua tu kwa kuushabikia. Tunasamehe makosa mengine sio uzinifu na uzinzi
 
Kipimo cha kunisamehe uovu wangu kisiwe ni kipimo cha kutaka msamaha toka kwangu...
Kusamehe inatoka nafsini mwa mtu....
Nikifumania sitasamehe, ila akinifumania ntaomba msamaha (na asiposamehe sitamwona ni mkosaji)..

Kumbe!!!
Ndo maana wakati mwingine siwapendi ujue!!!
Mnataka ninyi kusamehewa tuuuuuuuuuuu!!!!
 
Kuna majibu hapa, wapendwa!!!

Hukutuambia mdada ana miaka mingapi (26) na je alimuoa baada ya kumpa ujauzito (HAPANA) au ilikuwaje (HAWANA MTOTO) Mdada alirukia kuolewa kwa vile mkaka ana faranga au ilikuwaje (WALIPENDANA) na wapo pamoja Five years sasa.

LD,

Una maana kuwa waalikuwa kwenye uhusiano kwa mwaka mmoja na sasa dada ni 26 yrs baada ya ndoa ya 5yr, kwa hiyo waliza uhusiano dada akiwa na miaka 20. Na kaka sasa hivi ni 48 yrs (anamzidi mke wake 22 yrs), kwa hiyo wakati wanaanza uhusiano alikuwa na miaka 42!

Hapa kunaweza kuwepo tatizo la umri kutegemea pia na mazingira yetu. Kwa umri wa miaka 42 siwezi kumtafuta mtoto wa miaka 20! Huyo anatakiwa kucheza kidari po na vijana kwanza. Kwa umri huo (42 yrs) unahitaji mtu anayeweza kuelewa mambo ya kuitu uzima na siyo kujirusha. Nadhani hapo pia kuna tatizo kubwa.
 
Hebu niambie kidogo kuhusu msamaha wa lazima.
Usije kuta na huyu anahitaji msamaha wa lazima.

LD...
Kwangu msamaha wa lazima ni ule unaoanzia nje ya anayeombwa msamaha...vitu kama kufikiria ustawi wa familia (watoto nk)
Msamaha wa hiari unaanzia ndani ya nafsi ya mtu.
 
Nimekubali, na mimeelewa.
 
LD,

Una maana kuwa waalikuwa kweneye uhusiano kwa mwaka mmoja na sasa dada ni 26 yrs baada ya ndoa ya 5yr, kwa hiyo waliza uhusiano dada akiwa na miaka 20. Na kaka sasa hivi ni 48 yrs (anamzidi mke wake 22 yrs), kwa hiyo wakati wanaanza uhusiano alikuwa na miaka 42!

Hapa kunaweza kuwepo tatizo la umri kutegemea pia na mazingira yetu. Kwa umri wa miaka 42 siwezi kumtafuta mtoto wa miaka 20! Huyo anatakiwa kucheza kidari po na vijana kwanza. Kwa umri huo (42 yrs) unahitaji mtu anayeweza kuelewa mambo ya kuitu uzima na siyo kujirusha. Nadhani hapo pia kuna tatizo kubwa.

Thats the root general....you actually nailed it!
 
Halafu kwani msamaha katika context hii ya uzinzi ni nini?

Ni kwamba unasamehe halafu mnaendelea na uhusiano wenu au unasamehe lakini kila mmoja anaendelea na maisha yake ya kimapenzi kwingine?
 
LD,

Una maana kuwa waalikuwa kwenye uhusiano kwa mwaka mmoja na sasa dada ni 26 yrs baada ya ndoa ya 5yr, kwa hiyo waliza uhusiano dada akiwa na miaka 20. Na kaka sasa hivi ni 48 yrs (anamzidi mke wake 22 yrs), kwa hiyo wakati wanaanza uhusiano alikuwa na miaka 42!

Hapa kunaweza kuwepo tatizo la umri kutegemea pia na mazingira yetu. Kwa umri wa miaka 42 siwezi kumtafuta mtoto wa miaka 20! Huyo anatakiwa kucheza kidari po na vijana kwanza. Kwa umri huo (42 yrs) unahitaji mtu anayeweza kuelewa mambo ya kuitu uzima na siyo kujirusha. Nadhani hapo pia kuna tatizo kubwa.

Asante babu kwa kuona hiyo kitu!!!Wánaume wengi watu wazima hua wanadanganyika na sura ya binti bila kufikiria kama watakua kwenye ukurasa mmoja kwenye mambo muhimu!!!Mwenzake bado anataka kucheza na ujana wakati mzee muda wa kupumzika umefika!!Kuna rafiki yangu ye alikua mjanja kumgundua binti mapema kwamba yeye bado akili yake iko kwenye club gani aende...na yeye hayo ameshaacha akamwaga kwakua alijua watatofautiana sana...inakua kama unapata mtoto wa kulea badala ya mwezi wa kushea nae mambo!!!
 
Tatizo kubwa sasa linaloniandama ni kwamba nashindwa kuvaa viatu vya huyo mwanamume!

Hivi baada ya kumsamehe mara tatu, mnaendelea na maisha ya kawaida, jogoo anawika kama kawaida na kutafutia mtetea msosi as if nothing happened au hiyo biashara inafungwa?

Binafsi nikiamua kumsamehe kwa sababu ya vitu vingine kama wengine wanavyosema (watoto, ndugu, jamaa na mambo mengine) chakula cha usiku kinakoma...Hotel inafungwa milele. Nitakula magengeni lakini siwezi kuendelea kujiliwaza na wali wa jana! Hapana aiseee!!

Huyo ndiye DC (formerly babu DC, kabla mchawi wa Loliondo hajachafua sifa ya wababu)!
 
Eti watu wanataka msamaha na kuendelea!!!!
 
Kumbe nawe umeliona hili ehhh?

Red bold NDIO TATIZO LD wangu!

Kama jamaa anampita bi dada kwa 22 yrs...basi kuna kitu mdada anakikosa. Hukutuambia mdada ana miaka mingapi na je alimuoa baada ya kumpa ujauzito au ilikuwaje? Mdada alirukia kuolewa kwa vile mkaka ana faranga au ilikuwaje?

Ulinishushua niliposema juu ya umri!

Hata kama wangekuwa na tofauti ya miaka 50, huwezi kuhalalisha uzinzi uliozidi mipaka halafu ukataka kuwa kwenye ndoa. Kwa nini huyo dada asiondoke ili awe huru kuvinjari mitaa ya Ohio bila kujihisi kutenda jinai kwa mume wake?

Mbona ulijipinga mwenyewe tena?
 
LD,

Una maana kuwa waalikuwa kwenye uhusiano kwa mwaka mmoja na sasa dada ni 26 yrs baada ya ndoa ya 5yr, kwa hiyo waliza uhusiano dada akiwa na miaka 20. Na kaka sasa hivi ni 48 yrs (anamzidi mke wake 22 yrs), kwa hiyo wakati wanaanza uhusiano alikuwa na miaka 42!

Hapa kunaweza kuwepo tatizo la umri kutegemea pia na mazingira yetu. Kwa umri wa miaka 42 siwezi kumtafuta mtoto wa miaka 20! Huyo anatakiwa kucheza kidari po na vijana kwanza. Kwa umri huo (42 yrs) unahitaji mtu anayeweza kuelewa mambo ya kuitu uzima na siyo kujirusha. Nadhani hapo pia kuna tatizo kubwa.
Nafikiri hili ndio tatizo....
 
Babu umri wa hawa wapenzi ni huu hapa!!!

Mr 47 Mrs 26
 
Tatizo kubwa sasa linaloniandama ni kwamba nashindwa kuvaa viatu vya huyo mwanamume!

Hivi baada ya kumsamehe mara tatu, mnaendelea na maisha ya kawaida, jogoo anawika kama kawaida na kutafutia mtetea msosi as if nothing happened au hiyo biashara inafungwa?

Binafsi nikiamua kumsamehe kwa sababu ya vitu vingine kama wengine wanavyosema (watoto, ndugu, jamaa na mambo mengine) chakula cha usiku kinakoma...Hotel inafungwa milele. Nitakula magengeni lakini siwezi kuendelea kujiliwaza na wali wa jana! Hapana aiseee!!

Huyo ndiye DC (formerly babu DC, kabla mchawi wa Loliondo hajachafua sifa ya wababu)!

Bottom line ya kushindwa kutoa msamaha ndo hiyo....!!!
 
Asante babu kwa kuona hiyo kitu!!!Wánaume wengi watu wazima hua wanadanganyika na sura ya binti bila kufikiria kama watakua kwenye ukurasa mmoja kwenye mambo muhimu!!!Mwenzake bado anataka kucheza na ujana wakati mzee muda wa kupumzika umefika!!Kuna rafiki yangu ye alikua mjanja kumgundua binti mapema kwamba yeye bado akili yake iko kwenye club gani aende...na yeye hayo ameshaacha akamwaga kwakua alijua watatofautiana sana...inakua kama unapata mtoto wa kulea badala ya mwezi wa kushea nae mambo!!!

Na kwa vile jamaa ameshindwa kuyajua hayo, na pia kwa vile hata rafiki yake LD ameshindwa kumsaidia kuona kuwa hiyo njia anayopita ilishafungwa siku nyingi....Basi tunatoa hoja kwa Mheshimiwa Spika wa Bunge hili kwamba jamaa yu gonjwa tena mahututi...Apelekwe haraka ICU ya MMU! Vingenevyo tuanze kumuandalia kadi za R.I.P badala ya 49th birthday!
 
embu nikuulize msamaha wako unaupima kwenye mizani ipi na huwa tunapanga mambo ya kusamehe au maamuzi huja baada ya jambo kutokea embu tuwe wakweli kwenye hili.

Back
Top Bottom