Tatizo kubwa sasa linaloniandama ni kwamba nashindwa kuvaa viatu vya huyo mwanamume!
Hivi baada ya kumsamehe mara tatu, mnaendelea na maisha ya kawaida, jogoo anawika kama kawaida na kutafutia mtetea msosi as if nothing happened au hiyo biashara inafungwa?
Binafsi nikiamua kumsamehe kwa sababu ya vitu vingine kama wengine wanavyosema (watoto, ndugu, jamaa na mambo mengine) chakula cha usiku kinakoma...Hotel inafungwa milele. Nitakula magengeni lakini siwezi kuendelea kujiliwaza na wali wa jana! Hapana aiseee!!
Huyo ndiye DC (formerly babu DC, kabla mchawi wa Loliondo hajachafua sifa ya wababu)!