Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

anayeweza nunua umeme wa hela hiyo wala asingekuja kubweka huku bali angetumia ila wakina sisi tunaonunua kwa zamu hata ukizidisha buku teni badala ya buku lazima jasho likutoke namna hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…