Maximum token cost ni laki tano,Wakuu,
Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2,
Tumsaidiaje??
Pesa ikiingia kwenye mfumo, kuirejesha ni muhali!Wakuu,
Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2,
Tumsaidiaje??
Ameamua kuchagua nuru, giza ni mwiko kwake.Mwanga wa milele umwangazie
Amekua mwana wa nuruAmeamua kuchagua nuru, giza ni mwiko kwake.
Awauzie SGRWakuu,
Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2,
Tumsaidiaje??
Umeme wa majumbani mwisho laki tanoWakuu,
Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2,
Tumsaidiaje??
Mita ingepasuka kwa wingi wa uniti.Wakuu,
Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2,
Tumsaidiaje??