Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sifa za unique flower,
Nahofu ya Mungu mkorofi .
Namiaka 30+years old .
Mkoa niliopo sijui napia kazi yangu ni umbeya.
Napenda kuogelea , navitu ambavyo ni vizuri.
Napenda kusali, kusoma biblia na kuimba nyimbo za sifa .mf za dini
Kuangalia filamu ,vichekesho na kujua vitu vipya .
Haya nimekujibu hadharani ulivyotaka niviseme.
Mungu mkorofi ni yupi huyo?Sifa za unique flower,
Nahofu ya Mungu mkorofi .
Namiaka 30+years old .
Mkoa niliopo sijui napia kazi yangu ni umbeya.
Napenda kuogelea , navitu ambavyo ni vizuri.
Napenda kusali, kusoma biblia na kuimba nyimbo za sifa .mf za dini
Kuangalia filamu ,vichekesho na kujua vitu vipya .
Haya nimekujibu hadharani ulivyotaka niviseme.
Khakhakhaaaa!! Ujanaaa ujana sis!!Sifa nyingine ongezea... sio mwandishi mzuri
Akili anayo. Sema qlienda kwenye umbea akaisahau ndo bado anaitafuta. Akiipata mbona fresh30+afu akili huna!
Anazo Sana ndo mana amejii introduce public,mbona we hukufanya ivyo mwenye akili....sometime common isn't common weka details yako tuione sasa30+afu akili huna!