Kuna mtu kasema niandike huu uzi

Kuna mtu kasema niandike huu uzi

Wewe haupo lonely ngoja nikueleze jamboo ujue .

Kuwa single kwa mwanamke ningumu ila kama hauna mtu anayekushawishi huwezi kujiweka kwa watu ambao hawana future maisha yanaenda huwezi kuwaza dudu masaa yote.
Get a rest
 
Sifa za unique flower,
Nahofu ya Mungu.
Namiaka 30+years old .
Mkoa niliopo sijui napia kazi yangu ni umbeya.
Napenda kuogelea , navitu ambavyo ni vizuri.

Napenda kusali, kusoma biblia na kuimba nyimbo za sifa .mf za dini

Kuangalia filamu ,vichekesho na kujua vitu vipya .

Haya nimekujibu hadharani ulivyotaka niviseme.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee mkoa uliopo ni upande gani wa Tanzania? South /East /West /North or Coast? I see that you are a little sturbon [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom