Kuna mtu nampenda humu

Haya maisha ya baba jesca hayaitaji kuishi kinyonge ....Ni mwendo wa kujilipuwa tu liwalo na liwe maana mtu una F ya maisha uje tena kwenye mapenzi nako F hivi unafkiri lini utakuja kuibalance combi ya maisha ,[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
halaf ukizingatia jf yenyewe kila mtu ana avatar fake na id unaogopa nn kujipa raha

mtaje tu ufurahishe nafsi yako
 
Huwa ana kawaida ya mgomo huenda ikawa kagomea kule mlimani hataki kushuka eti anamsubiri Bashite.

Hahahaaaa.
Maombi niliyopiga safari hii... Bashite hachomoki wallah. Lazima arudishe vyeti vya watu
 
Niko kwenye ibada mlimani huku. Kuna mtu wa jinsia Ke kanimisi?

Kuna mmoja humu kasema kuna mtu anampenda ila hajafafanunua, sasa baada ya kujiuliza ni nani kati ya Daby au Bonny wote amesema siyo, kwa hiyo tukahisi tu itakuwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…