Kuna mtu nampenda humu

Ahaaa, jion na mm nafunguka humu, kam mbwai mbwai tuu
 
Unavyowaza juu ya umpendae nae pia anakua na mawazo kama wewe mfungukia tuu
 
Hahaaa! Kuna ule wa kwenda mlimani kwenye maombi ndio ulifika na nikakubali kweli ila huo mwingine mmh bado.

Ila ataufikisha usijali.

Ha ha ha, Numbisa! ule wa mlimani wa kuja na baiskeli ni lazima aufikishe kwa sababu una maslahi kwake.
Namuona anapita pita analike, nasubiri nisikie ataniambia nini juu ya kutofikisha ujumbe wangu kwako.
 
hivi anapata faida gan
 
Ha ha ha, Numbisa! ule wa mlimani wa kuja na baiskeli ni lazima aufikishe kwa sababu una maslahi kwake.
Namuona anapita pita analike, nasubiri nisikie ataniambia nini juu ya kutofikisha ujumbe wangu kwako.
Hatuna budi kumsubiri aisee huenda ikawa ana sababu nzito na yenye faida iliyomfanya asite kuufikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…