GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akimaliza huu mwaka atakuwa na ana bahati sana, ila nina uhakika kwa mwaka 2025 tunaweza tusiwe nae mazima Ok?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Yeye ataondoka kwa Kujitakia. Hakuna ambalo GENTAMYCINE nalisema na lisije kutokea. Tafadhali tunza huu Uzi wangu.Kila mtu atakufa...!
Nipo nyuma yako mkuuAkimaliza huu mwaka atakuwa na ana bahati sana, ila nina uhakika kwa mwaka 2025 tunaweza tusiwe nae mazima Ok?
Ulivyoiweka kama siri kubwa, akifa yeyote yule utajidai uliyasema kabla. If you are sure, mtaje..!!Ila Yeye ataondoka kwa Kujitakia. Hakuna ambalo GENTAMYCINE nalisema na lisije kutokea. Tafadhali tunza huu Uzi wangu.
Mkeo.Ulivyoiweka kama siri kubwa, akifa yeyote yule utajidai uliyasema kabla. If you are sure, mtaje..!!
Ni yule kijana mshamba, mjinga na mpayuka hovyo nini?Ila Yeye ataondoka kwa Kujitakia. Hakuna ambalo GENTAMYCINE nalisema na lisije kutokea. Tafadhali tunza huu Uzi wangu.
Aagh wapi..!Mkeo.
Ni "Paulo" hata mm nimeichungulia hiiUlivyoiweka kama siri kubwa, akifa yeyote yule utajidai uliyasema kabla. If you are sure, mtaje..!!
Kwa Status yangu ya sasa hapa nchini Uganda kubishana / kujibizana nawe ni Kujishushia Hadhi na Kuidhalilisha Taasisi Kubwa.Genta mtaje basi kama kweli we ni mkurwa asieogopa kitu siyo unatoa mikwara mikwara, Halafu unatudanganya uko Uganda wakati Jana umeonekana pale Girrafe ukuta wa jeshi
Nilijua Majiniasi hawapo wengi Tanzania nafurahi kujua na kuona kuwa kumbe bado wapo na Wewe pia ni Mmoja wao.Ni "Paulo" hata mm nimeichungulia hii
Basi utaondoka mazima Wewe vipi na hapa bado utabisha / utakataa?Aagh wapi..!
Sijui.Ni yule kijana mshamba, mjinga na mpayuka hovyo nini?
Na katika hao Malofa ninaowajua Wewe ni Mwenzao tena Mwandamizi ( Senior ) kabisa.Genta umechanganyikiwa hatma ya mtu huijui huna uwezo huo danganya malofa