Kuna Mtu naona analazimisha Mwenyewe kwenda mazima Mavumbini ( Udongoni ) kwa Ushamba, Ujinga na kwa Kukurupuka Kwake

Kuna Mtu naona analazimisha Mwenyewe kwenda mazima Mavumbini ( Udongoni ) kwa Ushamba, Ujinga na kwa Kukurupuka Kwake

Huenda anajiona ana nguvu kubwa hakuna wa kumtanguliza udongoni. Kazindikwa hasa, yeyote atakayejaribu kumpeleka udongoni ataona cha moto
 
Ni balehe ya uongozi inamsumbua lakini wahuni siyo watu bila shaka watapita naye kweupe. Watu wajipange na 2030 wewe ulete ulimi wako nje watapita naye bila shaka tena silence mode.
 
Back
Top Bottom