Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda.
Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe.
Mimi nilikuwa tofauti na mtizamo wake nikamwambia sikiliza kama mbinguni ni starehe za pombe na wanawake mimi sitaki kwenda hiyo mbingu kwani mimi sio mlevi au mzinzi na ninavichukia vitu kama hivyo.
TAFAKARI:
Je, mbinguni kuna wanawake wazuri na mito ya pombe na starehe ? au kuna kusifu na kuabudu na kumpa shukrani mungu kwa kutuumba bure na kutuchukua tukae nae milele.