Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda

Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda

Hivi ukiwa una pesa unashindwa kuwa na mapipa ya asali? madumu ya maziwa? na Kuwa na wanawake idadi unayoitaka?

Pepo ni hapa hapa duniani mkuu - Tafuta pesa.
 
Sina dini ila mama yangu ni mwislamu na baba yangu ni Mkristo mkatoliki
Ww ni ndugu Yangu.
Nataka kukuelewa taratibu.

Je ukizaa mtoto wako ataitwa jina la uelekeo upi?.

Au Akikua na yeye atasema mm sina dini kwasababu Baba hana dini.

Ukifa utazikwaje?.

Ushauri tu:
Dini ni jumuiya. Na pia Ndio inashape maisha yetu kwa namna flan.
Na nina uhakika TZ hii Hakuna mtu anachukia dini ya mwenzake. Zote tumeletewa. Tuna ndugu mchanganyiko (refers baba na mama yako).

Kwahiyo chagua dini moja. Ishi nayo na fuata misingi yake.
 
Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda.

Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe.

Mimi nilikuwa tofauti na mtizamo wake nikamwambia sikiliza kama mbinguni ni starehe za pombe na wanawake mimi sitaki kwenda hiyo mbingu kwani mimi sio mlevi au mzinzi na ninavichukia vitu kama hivyo.

TAFAKARI:

Je, mbinguni kuna wanawake wazuri na mito ya pombe na starehe ? au kuna kusifu na kuabudu na kumpa shukrani mungu kwa kutuumba bure na kutuchukua tukae nae milele.
Sasa wewe unaona kazi ya kuomba n kusifu ni ndogo?
 
Hivi ukiwa una pesa unashindwa kuwa na mapipa ya asali? madumu ya maziwa? na Kuwa na wanawake idadi unayoitaka?

Pepo ni hapa hapa duniani mkuu - Tafuta pesa.
Mimi sifikirii vitu kama hivi vinatoa furaha ya kweli siku ukiwa na hela ndio utanielewa masikini hufikiria pesa ndio furaha
 
Shetani alianza kujiuliza maswali kama hayo, shauri yako
Hakuanza kujiuliza kwa akili binafsi bali kwa akili ya uasi aliyopewa na Mungu wake mjuzi wa yote ambaye alijua mapema tu kuwa Shetani atajiuliza hivyo hata kabla hajamuumba.
 
Mimi sifikirii vitu kama hivi vinatoa furaha ya kweli siku ukiwa na hela ndio utanielewa masikini hufikiria pesa ndio furaha
Siku nikiwa na pesa nitakuelewa?
unamaanisha nini?

Mimi sio masikini mkuu.
Pesa inanipa furaha kwa asilimia kubwa.
 
Sasa wewe unaona kazi ya kuomba n kusifu ni ndogo?
Vipi kama aliumba hili lidunia lote na milima mikubwa kama kilimanjaro na bahari kubwa na miti na mamilioni ya wanyama bure kwanini yeye hakusema ni adhabu kuwaumbia vitu hivi binadamu hadi sisi kumuabudu tuseme ni adhabu.
 
Back
Top Bottom