Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda

Hamna kitu ka icho dunian eti mapepo wakat Mungu mwenyew katuletea ivk vitu tuvifanye
Wewe tatizo upo nje ya control yako siunasema sijui usipo fanya unakuwa hivi mara vile huoni huna control ya mwili wako mwenyewe? hili sio jambo la mzaha
 
Nafikiri huna pesa unanidanganya pesa haikupi furaha.
Hilo ndo tatizo linalowasumbua wengi zama hizi.

Wengi Mnafikiri kuwa mnafikiri kumbe mnahisi - Infact haufikiri ila unahisi kwamba kila mtu humu ni masikini na unahisi kila Tajiri hana furaha.

By the way Siwezi kukupangia jinsi ya kutumia hisia zako mkuu.
 
Wewe tatizo upo nje ya control yako siunasema sijui usipo fanya unakuwa hivi mara vile huoni huna control ya mwili wako mwenyewe? hili sio jambo la mzaha
Sasa si kawaida hayo mambo kwani ww usipofanya kipindi unachojua ww mwili si unakuwa unapata shida mambo ya hormone kila mtu ana mda wake wengine miezi wengine miaka wengine siku n jambo la kawaida kama hajko ivo una matatizo ya kiafya nenda hospital
 
Vipi kama aliumba hili lidunia lote na milima mikubwa kama kilimanjaro na bahari kubwa na miti na mamilioni ya wanyama bure kwanini yeye hakusema ni adhabu kuwaumbia vitu hivi binadamu hadi sisi kumuabudu tuseme ni adhabu.
Uliumbiwa wewe Ili uvifanyie nini? Uliomba kuumbiwa?
 
Ushawai kusaidiwa bila hata kuomba msaada ulipokuwa na changamoto? je mtu kama huyu kwa mfano hafai kuambiwa asante au ndio utaanza kumwambia ulinisaidia ili iweje au nilikuomba unisaidie.
 
Sasa si kawaida hayo mambo kwani ww usipofanya kipindi unachojua ww mwili si unakuwa unapata shida mambo ya hormone kila mtu ana mda wake wengine miezi wengine miaka wengine siku n jambo la kawaida kama hajko ivo una matatizo ya kiafya nenda hospital
Nje ya hapo ushawai kusikia mtu anamajini au kuona ?
 
Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda.

Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe.

Mimi nilikuwa tofauti na mtizamo wake nikamwambia sikiliza kama mbinguni ni starehe za pombe na wanawake mimi sitaki kwenda hiyo mbingu kwani mimi sio mlevi au mzinzi na ninavichukia vitu kama hivyo.

TAFAKARI:

Je, mbinguni kuna wanawake wazuri na mito ya pombe na starehe ? au kuna kusifu na kuabudu na kumpa shukrani mungu kwa kutuumba bure na kutuchukua tukae nae milele.
By the way kwenda mbinguni huwaga ni jambo la hiyari kabisa.Ila kwenda jehamu inaweza kuwa ni lazima.Yaani tunapamba usiku na mchana kukataa kwenda jehanamu kwa sababu iko giveni. kukosa vigezo vya kwenda mbinguni ni rahisi sana.kukosa vigezo vya kwenda jehanamu ni kazi sana.
 
Ushawai kusaidiwa bila hata kuomba msaada ulipokuwa na changamoto? je mtu kama huyu kwa mfano hafai kuambiwa asante au ndio utaanza kumwambia ulinisaidia ili iweje au nilikuomba unisaidie.
Hatima Yako anaijua aliyekuumba
 
By the way kwenda mbinguni huwaga ni jambo la hiyari kabisa.Ila kwenda jehamu inaweza kuwa ni lazima.Yaani tunapamba usiku na mchana kukataa kwenda jehanamu kwa sababu iko giveni. kukosa vigezo vya kwenda mbinguni ni rahisi sana.kukosa vigezo vya kwenda jehanamu ni kazi sana.
Lakini wanaopanga kwenda mbinguni wanafanya mema kwaajiri ya mbingu na sio kwa roho na kweli
 
Hatima Yako anaijua aliyekuumba
Naona umeruka mada mkuu, kwa kifupi tunapaswa kutoa shukrani kwa wanao tusaidia hata kwa mungu aliye tuumba bure hatupaswi kuwa na mtizamo hasi kwamba muone huyu aliniumba ili iweje tunapaswa kuwa wanyenyekevu na kushukuru mda mwengine shida huwa zinarudi.
 
Sasa utamuumba mtu usimpe vya kumsaidia? Ukizaa kulea ni wajibu
 
Majininivyo vitu hamna kabisa duniani n vitu dini wametuletea kutuogopesha tu we ushawah muona jini sehem yyte na wanaishinwapi
Fanya uchunguzi mkuu upate maarifa usikanushe tu vitu bila kuvijua na kama si hivyo utakuwa kwenye kundi la wasio jitambua.
 
Majininivyo vitu hamna kabisa duniani n vitu dini wametuletea kutuogopesha tu we ushawah muona jini sehem yyte na wanaishinwapi
Achana na malaika na majini.

Hivi Ushawah kuona mtu aliyerogwa?
Una amini kuna uchawi?
Una amini kuna Kafara?

Hata kwa kushuhudia tu kwa mtu unayemuamini.

Kuna hirizi?.
Kuna wanga?
Kuna wanaochukua watu msekule?.
Kuna watu wanazika migomba?.

Nijibu kwanza haya nijue msimamo wako.
 
Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda.

Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe.

Mimi nilikuwa tofauti na mtizamo wake nikamwambia sikiliza kama mbinguni ni starehe za pombe na wanawake mimi sitaki kwenda hiyo mbingu kwani mimi sio mlevi au mzinzi na ninavichukia vitu kama hivyo.

TAFAKARI:

Je, mbinguni kuna wanawake wazuri na mito ya pombe na starehe ? au kuna kusifu na kuabudu na kumpa shukrani mungu kwa kutuumba bure na kutuchukua tukae nae milele.
Sasa unaenda kufanya nini na watu hawaoi wala hawaolewi wanakuwa kama malaika .

Kuliko kupoteza muda wako si heri leo uanze kuwa malaika.
 
Naenda kumuabudu mungu na kupumzika na magonjwa na shida, na hali yoyote iliyo mbaya pamoja na kifo
 
Achana na malaika na majini.

Hivi Ushawah kuona mtu aliyerogwa?
Una amini kuna uchawi?
Una amini kuna Kafara?

Hata kwa kushuhudia tu kwa mtu unayemuamini.

Kuna hirizi?.
Kuna wanga?
Kuna wanaochukua watu msekule?.
Kuna watu wanazika migomba?.

Nijibu kwanza haya nijue msimamo wako.
Me kiukweli ivo vitu vyote siviamini yaan na ndo mana sijawah kutana navuo na hata hayo mambo ya kurogwa ukiwa unapenda hayoambo ndo utaamini unaenda kwa mganga anakupigia ramli anakwambia mama ako ndo anakuroga kwa akili zako finyu unaamin mama anakuroga kweli kwann asikuroge ukiwa mtoto hayo yote n mitkasi ya watu kupiga hela we msukule umeuona wapi na iho kuzika mgomba nani kazika mgomba waache kazi zao wazike mgomba. Hayo mambon vile ukitaka kuamini utaamini tu mana kuna wale waganga wanapita majumban kutoa uchawi ss watu ka nyie ndo mnawaamini sn wale kumbe n wezi tu.
 
Back
Top Bottom