Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
kama nitakua sijalalaBaadae ndio yani ntarudi baada ya muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama nitakua sijalalaBaadae ndio yani ntarudi baada ya muda
Hayakama nitakua sijalala
Duu...!! Hiyo Kali mkuuhahahahh husna tulifukuzwa sitasahau mwenye thread alikua kimya bada ya makelele ya wapambe ikabidi aongee na yy basi kama hatusikii tunaendelea kuchat mpk hamu ilivyoisha
Hehehehee... miss you sweetheart...Babu bhana, we sio wa nchi hii
Nimesikitika sana, nimehuzunika sana...Hehehe
Shemela namba ya mpesa si unayo lakini
Habari za kuamshwaUwe na usiku mwema
Habari za kuamshwa pachaok dear usiku mwema
Ndioooo, si kijiwe hiki au mmekubalianaje na Mangaauache tena
Amekuwa shem tena, mbona husomekiiShem lake nakupendea hilo tu
Na mie nashangaa, shem kwa nani labdahahahhah sasa hivi mm shem
Umemquote Shunie sio mie, we unazeeka vibayaKwani nimeku quet wewe ni sakayo
Babu mie nakutafuta mpaka nalala jukwaani kweeeliHehehehee... miss you sweetheart...
BabuNimesikitika sana, nimehuzunika sana...
HeheheAisee ngoja nikae hii kona naweza pata chochote cha kungoa hapa
Kabisa maana nimechoka kuwa mpweke sasaHehehe
Naona waandaa ndoana
PoleKabisa maana nimechoka kuwa mpweke sasa
Nimekusubiri PM ukanichomesha mahindi... we sawa tuBabu mie nakutafuta mpaka nalala jukwaani kweeeli
Shkamoo
pacha za ww umeamkajeHabari za kuamshwa pacha