Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
sawa mama hiki ndio kijiwe chetuNdioooo, si kijiwe hiki au mmekubalianaje na Manga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mama hiki ndio kijiwe chetuNdioooo, si kijiwe hiki au mmekubalianaje na Manga
hahahahh amesema aliniquote vibayaAmekuwa shem tena, mbona husomekii
hahahhhUmemquote Shunie sio mie, we unazeeka vibaya
Mie jana mpaka naomba watu wakutafute, Ulienda wapiNimekusubiri PM ukanichomesha mahindi... we sawa tu
Mie sijambo kabisaapacha za ww umeamkaje
Hivi hujisikiagi vibaya kusema uongo?? Kwanini hukunitafuta wazap??Mie jana mpaka naomba watu wakutafute, Ulienda wapi
Hahaaasawa mama hiki ndio kijiwe chetu
HeheheHivi hujisikiagi vibaya kusema uongo?? Kwanini hukunitafuta wazap??
Umeona wapi dyudyu ya babu shogaawe Babu usinitaftie ubaya
Kwanini unapenda kuniumiza moyo lakini? Kukupenda ishakuwa adhabu jamani?Hehehe
Vibaya nijisikie mie tena, Wozap si ulizima wewe. Mpaka umtoroke mkeo usiku wa manane, mie sipendi ujue
BabuKwanini unapenda kuniumiza moyo lakini? Kukupenda ishakuwa adhabu jamani?
Nimekutana nae sehem nimemwambia ulikua unatafutwaMie jana mpaka naomba watu wakutafute, Ulienda wapi
Ndio hapoWe dudu yako Shunie kaionea wapi tena
jana nililala sa 5Hahaaa
Halafu wewe huwa Unalala saa ngapi
Hahahhhh kumbe ndio anavyofanyaHehehe
Vibaya nijisikie mie tena, Wozap si ulizima wewe. Mpaka umtoroke mkeo usiku wa manane, mie sipendi ujue
Kuna sehem tumekutana kwenye mada ya dyudyu akaniambia atakukataza ww usinifate nitakuharibu nikamwambia Babu ungekua na kimbilimbi sakayo angeshakuacha ndio hapo tulipoanziaUmeona wapi dyudyu ya babu shogaa