Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaona kila siku nakuambia unanibishia. Huwa ananisedyuz PM. Kama si mapenzi yangu kwako angefanikiwa kuninasaBasi alikuwa anataka kujua una dyudyu ya namna gani, mie akuu sijasema chochote babuu!!!
Ungemuacha aendelee na hao anaoona wana maana, hawezi kunilaza machoNimekutana nae sehem nimemwambia ulikua unatafutwa
We ndanganye mwenzio tu. Uongo ni dhambi ujueKuna sehem tumekutana kwenye mada ya dyudyu akaniambia atakukataza ww usinifate nitakuharibu nikamwambia Babu ungekua na kimbilimbi sakayo angeshakuacha ndio hapo tulipoanzia
Saa tano tuujana nililala sa 5
ulisema utanigombanisha na sakayo Babu naona unajitahidiSi unaona kila siku nakuambia unanibishia. Huwa ananisedyuz PM. Kama si mapenzi yangu kwako angefanikiwa kuninasa
hivi alikua wapi janaUngemuacha aendelee na hao anaoona wana maana, hawezi kunilaza macho
Yaani navumilia mengi we acha tu, sema anajua kunitetea hilo tuuHahahhhh kumbe ndio anavyofanya
naongea ukweli kabisaWe ndanganye mwenzio tu. Uongo ni dhambi ujue
MmmmmhKuna sehem tumekutana kwenye mada ya dyudyu akaniambia atakukataza ww usinifate nitakuharibu nikamwambia Babu ungekua na kimbilimbi sakayo angeshakuacha ndio hapo tulipoanzia
EenhSaa tano tuu
na ndio unachompendeaYaani navumilia mengi we acha tu, sema anajua kunitetea hilo tuu
HahaaaSi unaona kila siku nakuambia unanibishia. Huwa ananisedyuz PM. Kama si mapenzi yangu kwako angefanikiwa kuninasa
hivi haupogo kule kafufua post yangu ya zamani anaanza kuniqoute kwaresmaMmmmmh
Ni wapi huko mlikutana na story za madyudyu
Mwambie si hatukataagi utamuHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Yule shilawadu. Sema hanipati. Leo nakuletea limbwata uniwekee...Hahaaa
We jitetee tu, Shunie hawezi nisaliti
Hebu muwe wa kweli, huwa mnakutana wapi???We ndanganye mwenzio tu. Uongo ni dhambi ujue
Heheheulisema utanigombanisha na sakayo Babu naona unajitahidi