[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tunaomba mod huu uzi title yake iwe
Shunie
espy
husna muba
Manga ML
Daby
Sakayo
MO11
Asprin
Saint Ivuga
Honey Faith special thread maana sio kwa kuujaza hukuuu.
Hebu huko[emoji57] [emoji57] [emoji57]
tusifute ukaka , ungejua nnavyokupenda dada yangu,... ila sijajua kwa nini unanifichaga mambo yako.. mimi kaka yako natakiwa nijue kila kitu ili nikushauriTutafuta ukaka ujue[emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hujui huo ndio usingizibwangu!! Unataka nikeshe?
Saint Ivuga sijui leo kala maharage ya wapi!! Mie daby hata kumchungulia tu kakataa alafu useme ni shemeji yako!!espy nisaidie kumjibu mtakatifu shemeji yangu
Shemeji ukiwa kwenye mahaba ndiyo unakuwa mkali hiviHebu huko[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ukipenda boga penda na maua yake!! Hayo ndio maua ya mumeo so yavumilie tu, we si ulijitoa ufahamu!!!Yaani jana tu nimemkuta anammendea binti aliyejitangaza anapenda pweza halafu akapotea mazimaa, leo kuna mwingine anataka akamdhibitishe halafu amepotea kabisaa. Hivi mie nitakuwa na moyo wa chuma au??? Babu moyo wangu ni wa nyama, mengine nipunguzie mie
kumchungulia wapi,,... dada yangu kipenzi cha roho niweke wazi basiii... huyu mtu aliyekuwa anakuimbia mashairi ni nani?Saint Ivuga sijui leo kala maharage ya wapi!! Mie daby hata kumchungulia tu kakataa alafu useme ni shemeji yako!!
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ni njema kiasi.Habari za leo
heeee...my lov sisHebu huko[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ila utabiri wake mzuri.. au hujaupenda shemejiSaint Ivuga sijui leo kala maharage ya wapi!! Mie daby hata kumchungulia tu kakataa alafu useme ni shemeji yako!!
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
kivipi tena my dada amekuwa shemeji yako...? ama umemshindwa mrudishe binamu yangu ,, nyama ya ham hii au hujui?Shemeji ukiwa kwenye mahaba ndiyo unakuwa mkali hivi
Kwenye hii dunia usipopenda hela utapenda nini dada yangu?Unavyopenda hela mdogo wangu ni shidaaaaa
Inbobo tena? Inamaana hata mimi dada yako huna namba yangu[emoji57] [emoji57] [emoji57]haya fanya mambo in bobo... naona faith staki nataka nyiiiingi
Utapenda nanihiiiiiiiiiiKwenye hii dunia usipopenda hela utapenda nini dada yangu?
Zikitumwa nitakupatia[emoji12] [emoji12]
Huyu mtoto anahitaji darsa kwakweli, kwa mzee unajichotea tu na kusepa, yeye eti kawekeza moyo, ngoja yamkute.Yani unaaanzaje kupata stress kwa kizee?Bora kijana ndio akupe stress,kizee ni kumlia pension yake tu sasa wewe unamkabidhi moyo hajui ni wengi mpo mnataka hiyo hiyo pension yake?
ninayo.. namaanisha nitumie namba yake nimrushie mwenywe ,, wew ukitaka kitu si unaingia tu chumbani kwa binamu yako unachukua mpunga juu ya kitandaInbobo tena? Inamaana hata mimi dada yako huna namba yangu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
sasa si bora uje uzichukue umpekeleee?Kwenye hii dunia usipopenda hela utapenda nini dada yangu?
Zikitumwa nitakupatia[emoji12] [emoji12]
My kaka hilo ulolifanya hapo ndio inasababisha nisikueleze mambo yangu. Huyo ndio shemeji yako jamani.tusifute ukaka , ungejua nnavyokupenda dada yangu,... ila sijajua kwa nini unanifichaga mambo yako.. mimi kaka yako natakiwa nijue kila kitu ili nikushauri